Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

WAZIRI MAVUNDE: ASLIMIA 20 YA UZALISHAJI DHAHABU NI KWAAJILI YA AKIBA YA NCHI Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde amesema kuwa kupitia kikao cha Wadau wa Madini, Wizara ya Madini na...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Habari, "Tafuta kiwanja, Jenga, Oa/Olewa, nunua mkoko", njia hii na mawazo haya yamekuwa kwa vijana wengi wanaoanza maisha, hususani waliobarikiwa kupata ajira au biashara zao binafsi ambazo...
70 Reactions
223 Replies
33K Views
OFFLINE ❌ ❌ 🥶
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Wadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15. Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Salaam wakuu: Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya. Acha kubet na...
36 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari Wana jamii forum LBD cocktail ni cocktail Ina sifa gani na zinauzwa sh ngapi hapa dar kwenye bar au club Ina pombe au haina? Tamu au chungu?
0 Reactions
0 Replies
243 Views
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO AIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA MPANGO WA KUONGEZA AKIBA YA DHAHABU NCHINI. -Awataka wadau kuunga mkono mpango wa Serikali -Waziri Mavunde asema mgomo umeisha kupitia...
0 Reactions
6 Replies
396 Views
Habari za Leo wajasilia Mali. Mimi ni mfugaji wa kuwa nyama, hupendelea sana kufuga kuku aina ya sasso Kwa sababu hawashambuliwi sana na magonjwa. Sasa Leo nilikuwa naomba elimu kwenye nataka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mhadhara - 38: Baada ya kumaliza matembezi yangu kwa takribani wiki mbili kule jijini Mbeya. Leo nimefika Dar es salaam hivyo naomba niwashauri wafanyabiashara (wawekezaji) wakubwa wa kule Mbeya...
1 Reactions
3 Replies
572 Views
Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa...
1 Reactions
9 Replies
624 Views
Habari za wakati huu wana JF, natumai mko salama na mwaendelea na mapambano ya kujitafutia mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mimi nipo jijini Mwanza na nimekuja kwenu...
1 Reactions
3 Replies
501 Views
Habari wanajukwaa , Korosho ni zao ambalo hulimwa mikoa ya Mtwara na Lindi, Na ni zao kuu la biashara katika mikoa hiyo. Biashara ya ununuzi wa korosho, imewatoa watu wengi sana kutokana na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau nauza eneo langu la biashara rangi 3 nimelipia kodi miezi 4 nauza kwa laki moja na 20 lipo karibu na sheli ya puma jirani na dar live wanaotaka kuuza makava ya simu,viatu vya kiume na...
4 Reactions
8 Replies
783 Views
Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia sana kufahamika kirahisi na kuweka...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wana JF nina idea ya biashara ,nipo Kilimanjaro,Nina proposal ya biashara but nahitaji Sponsor, niingie nae mkataba, Mimi ndiye nitasimamia kampuni Je, naweza kupata wapi au pakuanzia...
2 Reactions
11 Replies
716 Views
Una uwezo wa kuwasha mpaka tv nch 43 Mobisol hawatudai,tumeshamalizana nao Bei 400,000 Mwanza
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Korosho seasonal Kuna kagomba wa ajabu sana mkoa wa kusini. Mtu anapigia maboss walioko dar huko au mikoa mingine kuwaaminisha kuwa korosho mwaka huu ni Big deal kwa sababu uchaguzi upo njiani...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, nipo katika harakati za kutafuta masoko ya peanut butter natengeneza peanut butter za organic (isiyo na mchanganyiko wowote) ya chumvi na ya asali shida ni masoko napatikana...
3 Reactions
5 Replies
577 Views
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni...
49 Reactions
644 Replies
224K Views
Back
Top Bottom