Ufugaji wa kuku wa mayai

homeboy41

Member
Oct 20, 2020
11
17
Habari za Leo wajasilia Mali.
Mimi ni mfugaji wa kuwa nyama, hupendelea sana kufuga kuku aina ya sasso Kwa sababu hawashambuliwi sana na magonjwa.
Sasa Leo nilikuwa naomba elimu kwenye nataka nianze kufuga kuku wa mayai. Maswali yangu yanayosumbua sana kichwa changu ni haya.
1. Je kuku wa mayai hutaga Kila siku Yao moja au mawili kama wengine wanavyosema je ni kweli???
2. Je ni mbegu ipi Bora ambayo inaweza kukupa matokeo Chanya.
3.inatakiwa nifanye nini Ili watage Kila siku?????
Naombeni msaada juu ya hili
 
MWONGOZO WA KUKU WA MAYAI.

Kuku wa mayai, hawa ni kuku ambao vinasaba vyao huwawezesha kutaga mayai mengi kwa muda watakao fugwa

Zipo aina nyingi za kuku wa mayai hapa nitataja baadhi

Hy-line, Isa brown, Bavon brown, Lohman brown, Rhode Island n.k

Yapo mambo kadhaa ya kuzingatia kwa kuku wa mayai

ENEO
Idadi ya kuku kwa mita moja mraba ni kuku 7-8 ndio inayo shauriwa sana kitaalamu kwa ukuaji na kuzunguka

Vyombo vya chakula na maji

Belly drinker 1 kuku 60-80

Chicken /feeder drinker kubwa Lita 20 kuku 50-60

Chicken drinker/feeder ndogo lita 10 kuku 20-25

Hii huwezesha kuku kupata maji ya kutosha

NB : Kuku anatakiwa kunywa maji zaidi ya Mara mbili ya chakula anachokula kwakua zaidi ya 75% ya yai ni maji, ukipunguza maji wanapunguza kutaga ZINGATIA

Kuku wapewe chakula kwa ratiba sahihi iliyo zoeleka usibadilishe ratiba utawastress na wataounguza kutaga

Mfano huwa unalisha saa 6 AM na 4 PM hakikisha unawalisha kila Siku muda huo

Kuku walishwe kwa mfumo wa gramu ili kuzuia kujaza mafuta au kutumia chakula kingi kuzalisha yai moja, kwa kawaida kuku mmoja wa mayai anatakiwa kukupa mayai 6-7 kwa kilo 1 ya chakula ( Hyline)

Mfn: Unakuku 100, wiki ya 20, wanatakiwa kula gram 120 kwa kuku mmoja
Chukua 120× 100=12000gram
12000/1000=12 kg
Kwahiyo kuku hao wiki hilo watakula Kilo 12 za chakula kwa siku.

Kuku wana pitia stage 3

Brooding wakiwa vifaranga mpaka wiki 4,

Growing wiki 5 -17 na Production baada ya kuanza kutaga mayai

Hivi vipindi vinatofautiana kiuangalizi na kipindi cha kutaga hutegemea vipindi hivi( Brooding au malezi ya vifaranga na Growing)

Brooding zingatia
Chakula, Joto, hewa safi, Mwanga, nafasi ya kukaa inashauriwa 40 chicks kwa 1m2( vifaranga 40-60 kwa mita 1 mraba)

Growing
Zingatia chakula, Mwanga , nafasi na Hewa safi kwakua hapa ndo kuku anakua anaandaa mfumo mzima wa mayai

CHAKULA

Starter kwa wiki1- 6/8

Grower 7/8-17 au watakapo anza kutaga

Layers mash baada ya kuokota yai nakuendelea, hii huanza Mara nyingi wiki ya 18-20 ndipo kuku wengi huanza kutaga.

Kuku wakianza kutaga nivema ukawapa masaa 16 ya Mwanga kama somo la mwanga linavoelekeza yaani ,mchana masaa 12 mwanga wajua ,kisha jioni unawasha taa na kuizima saa 4 usiku.

Ratiba za chanjo

Siku ya 7na 21 Newcastle (ya maji au matone) (LASOTA)

Siku ya 14na 28 gumboro( Ya maji)

Siku ya 30ndui(Ya bawa)

Kila baada ya miezi 3 rudia chanjo ya Newcastle

Wape dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.mfn Piperazine, Levifarm, Fenbemdazole, (Mtafute Daktari wa mifugo)

USHAURI
Uza mayai na uweke akiba kwaajili ya kuingiza kuku wengine , tunashauri uingize kuku kwa kutofautisha rika hii itakusaidia kukuza mradi pia kuwawezesha wateja wako kupata huduma muda wote.

Weka kumbukumbu ya gharama zote ulizotumia

Chanjo za maji, ziwekwe kwa masaa mawili pekee, kisha badilisha maji na kuweka maji mengine (yanaweza kuwa na vitamin au maji matupu), ila watolee maji masaa 2 kabla ya kuwapa chanjo na uwape chakula kuongeza kiu, (inashauriwa kuchanja Asubuhi au jioni)

Fuatilia kwa makini idadi ya vifo ,ili ujue kuku waliobaki kupima uzalishaji( usipokua makini utaibiwa)

Epuka kutumia dawa bila kumshirikisha Daktari wa mifugo, dawa nyingine hupunguza au kukata utagaji mayai kwa muda , Zenye salfa kama Esb 3 n.k.

Hakikisha randa bandani haziloani, kuepusha magonjwa ya Coccidiosis, na ya kuumia miguu kwa kuunguzwa na Ammonia bandani.

Fanya tathmini ya mradi Mara kwa Mara, angalau kila mwezi

Jitahidi sana kutafuta taarifa za masoko mkoani kwako na mikoa mingine , kupanda, kushuka kwa soko ili uweze kuuza kwa bei zilizopo (Usiwe nyuma )

Wahudumu wa kuku, wapate huduma zote za msingi kama wanao , usiweke GEP baina yao na familia , watapenda kazi na uzalishaji utakua mzuri na hawataiba ( Boresha maslahi)

Zingatia sana sheria za Viumbe hai salama, BIOSECURITY kupunguza case za magonjwa

Kwa wanaofuga kwa cages.
Huu ni mfumo mzuri na rahisi kwa kuku
Mayai masafi
Hayapasuki
Wafanyakazi wachache
Magonjwa hupungua
Chakula hakimwagiki sana

Inashauriwa kuku wawekwe kwenye cages wakifikisha umri wa wiki 12-14, kuzoea mazingira ili wasipate stress.

Madaktari, wataalamu na wafugaji wazoefu mwaweza ongeza ushauri pia tufikie malengo

Credit
GREYSON KAHISE
MTAALAMU WA KUKU
 
Nashukuru sana kaka Kwa kunipa madini haya
 
Dah mtaalamu umemaliza kila kitu asipokuelewa hapa sasa itabidi umtandike bakora.
 
nashukuru sana kwa some kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom