Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Sababu ya mfanyakazi anaye hustle 24/7 kula 400k monthly huku Boss aliyekaa tu anakula 5M+, oa wakuu wamiliki wa biashara wanatake risk! Yaani anguko lolote ni lake, we chako kiko standard, ko...
6 Reactions
4 Replies
670 Views
Sio sawa kusema kuwa kuna biashara ndogo, bali unaweza kufanya biashara kwa mtaji mdogo. Matendo yetu huongozwa kwa mawazo na fikra zetu, hivyo kuanza kusema biashara ndogo inaweza kuathiri...
6 Reactions
37 Replies
45K Views
Habari zenu wadau? Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Mimi ni kijana mtafutaji. Tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye ujuzi kuhusiana na suala la Studio za kuuza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock. 1. Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka. 2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni?
1 Reactions
3 Replies
514 Views
Wadau kuna mtu anayeishi magole kwa mpemba msafi hivi hali ya kibiashara ikoje kule nikiweka viatu vya kike na pochi maana watu wanasema pagumu
0 Reactions
2 Replies
310 Views
Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya...
8 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mfanya biashara ni lazma kila siku kutoa taarifa ya mauzo kwenye EFD Mashine? Ina umuhimu gani kwangu kama mfanyabiasha na inawasaidia nini TRA?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wajuvi wa JF Katika kufikiria namna ya kutoka kimaisha hapa mjini kujiajiri hakuepukiki maana ajira hakuna. Naombeni mnisaidie mchanganuo wa nini kinahitajika katika biashara hii. Location nipo...
4 Reactions
11 Replies
10K Views
Wakuu wa JF Kati ya biashara ya underwear, pochi, viatu vya kike na watoto na biashara ya phone accessories ipi ambayo una uwezekano wa kupata wateja wengi kila siku kwa maeneo ya uswahilini au...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Mafuta ya kuendeshea gari langu yanazidi kupanda bei. kwa wiki natumia elfu 70.kwa mwezi ni around 250,000. hapo sijafanya tripu za kutembelea nje ya dar ktk kusaka mashamba etc.nikipiga hesabu ya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Karibu kupendezesha miguu kwa sendo kali na za kisasa. Kwa 15,000 tu unapata chaguo lako leo. Kama unataka kwa jumla nakuuzia kwa bei ya punguzo kubwa kuanzia pair 5. Piga simu/WhatsApp: 0683535699.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari, mimi nimeamua kujitafuta kwa kutengeneza ubuyu, natafuta duka au soko ili niwe nauza kwa jumla. Nipo Morogoro Mazimbu.
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Marekani imetumia $22.76bn kusaidia vita vya Israel dhidi ya Gaza na operesheni dhidi ya Houthis nchini Yemen, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Watson ya Chuo Kikuu cha Brown. Msaada wa kijeshi...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Habari za wakti huu, Ni matumaini yangu kwamba nyote mnaendelea Vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Hata mimi niko Salama. Ni muda mrefu sana tangu niweke andiko rasmi hapa Jukwaani, hata...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA. Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo. Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Soko la hisa la Dar es Salaam lina makampuni 26 yaliyo jiorodhesha. Katika hayo kuna makampuni yanayofanya vibaya na yale yanayo chechemea. Tuangalie orodha ya makampuni yaliyo na hali mbaya na...
38 Reactions
117 Replies
9K Views
Wateja karibuni bei ya shamba hiyo. DM for business. Location Dar na Katumba
1 Reactions
1 Replies
515 Views
WAZIRI MAVUNDE: ASLIMIA 20 YA UZALISHAJI DHAHABU NI KWAAJILI YA AKIBA YA NCHI Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde amesema kuwa kupitia kikao cha Wadau wa Madini, Wizara ya Madini na...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Back
Top Bottom