Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za majukumu wanajamvi Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla k.koo anisaidie mawasiliano yao.mimi napatikana mwanza.
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10...
97 Reactions
440 Replies
32K Views
Habari wakuu, Hapa juzi elimu kuhusu crypto currency imekuwa inatrend Hadi bungeni huko, wabunge wameanza kuwa wanazungumzia hili swala, yule mbunge kafika mahali kabisa kasema serikali ingenunua...
14 Reactions
71 Replies
19K Views
Wakuu haya ni madini haya au ni mawe tu? Kwa atakaye yahitaji tuwasiliane
3 Reactions
38 Replies
6K Views
  • Poll Poll
Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data. Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote. Huu ni wizi na...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji. Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI ▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570 ▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa...
3 Reactions
2 Replies
463 Views
Ndio maana wengi wanakimbia ukanda huu wa biashara Unakuta unakosa nguvu na kuwa na variety nyingi dukani za kuvuta wateja wasiondoke kwa maana wasikose bidhaa fulani dukani kwako Kwa hio kama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Karibuni jamani niwaelekeze sehemu za kupata mitumba safi hasa kwa wale wenye vipato vidogo na unataka kuanza biashara usisubiri hadi upate mtaji mkubwa unaweza anza na kidgo nitakuonesha sehemu...
2 Reactions
4 Replies
974 Views
Kuuza nguo mtandaoni ni mojawapo ya fursa kubwa za biashara zinazochipukia kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa teknolojia na ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Natafuta crate tupu za Soda kampuni ya Pepsi na Koka
2 Reactions
0 Replies
410 Views
Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
10 Reactions
90 Replies
11K Views
  • Poll Poll
MWAKAWASILA CONSULTANT Ni mshauri wa kifedha ni mtaalamu anayetoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, na kufanikisha malengo ya kifedha. Huduma zake mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia. MATUMIZI YA ALMASI Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti...
5 Reactions
56 Replies
11K Views
Ndg zangu habarini za majukumu? Naomba ushauri au msaada nini nifanye juu ya hili: Mimi ni mjasiliamali nafanya uchuuzi na taasisi za umma na serikali, mwaka jana wote biashara haikuwa nzuri hasa...
1 Reactions
8 Replies
947 Views
Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana. Binafsi nimepambana hapa...
37 Reactions
379 Replies
54K Views
Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki.... Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye...
16 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom