Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada...
2 Reactions
9 Replies
729 Views
Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba...
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Hakikisha biashara inayokupa kipato inakuwa imara kiasi kwamba ndo inakuwa kama utambulisho wako kwenye jamii kabla ya kufungua nyingine. Kwa mfano kwa sasa likitajwa jina na Bilionea Mulokozi...
10 Reactions
11 Replies
957 Views
Wadau nimekuwa nikifikiria sana Hakuna suala gumu kama kufanya planning...Napata shida sana kwenye kufukiria nn nifanye nje ya box (business) yaan cna idea kabisa japo mtaj ninao kama 1M hv...
2 Reactions
4 Replies
443 Views
Daaaaah "Asie sikia la mkuu huvunjika guu" na "kusikia kwa kenge mpaka masikio yatoke damu" "Ulafi ulimponza mzee fisi"[emoji24][emoji24] Thread in a nutshell[emoji993]...
18 Reactions
96 Replies
14K Views
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naombeni ushauri na ushuhuda kama kuna mtu aliyewaikununua tinga tinga robot kwaajili ya kutrade forex kutoka kwa billionaire forex academy
4 Reactions
57 Replies
8K Views
Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili...
8 Reactions
24 Replies
6K Views
Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo: Ripple (XRP) Cardano (ADA) Tron (TRX) Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu: - Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164 -...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Hivi kuna wataalam wa One coin humu? naomba kufahamu hivi hii kitu iliishia wapi? maana nakumbuka ilikuja na moto wa ajabu
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini...
1 Reactions
7 Replies
680 Views
🔥🔥 ukweli mchungu ni kwamba🔥🔥🔥🔥🔥🔥 📌Cryptocurrency imekuwa maarufu kutokana na uwezekano wa faida kubwa, lakini pia imevutia matapeli ambao hutumia mbinu mbalimbali kudhulumu watu. 📌📌Matapeli...
3 Reactions
3 Replies
643 Views
Habari za Mchana Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Msaada kama kunamtu anajua kama utt amis wanafungua ofisi zao jumamosi
1 Reactions
5 Replies
604 Views
Habari wanajamvi wenzangu katika jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali, Pasipo kupoteza muda naomba nitoe ufaganuzi kidogo kuhusiana na Kodi ZINAZOHUSIKA katika uagiza wa gari Toka nje...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf, Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Jipatie kitabu chako kupitia hapa : Link hii hapa
3 Reactions
9 Replies
650 Views
Habari, wataalam na wenye uzoefu wa jambo hili naombeni muongozo katika jambo langu hili. Ili kujikwamua na ufukara uliokithiri Nilitaman kufanya biashara ya ufagaji.. Nilionelea nifanye ufagaji...
16 Reactions
143 Replies
13K Views
Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha. Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Back
Top Bottom