kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu hilo liko wazi. Ila wimbo huu unaonekana kutokuwa na maana hasa kwangu kwa viongozi wetu kugawa ardhi nzuri yenye rutuba kwa wageni( eti wawekezaji) kuja...
Kuna kila viashirio kuwa mkullo na kaka yake wamekula mlungula wa waagizaji wa crude palm oil ...kwani mkakati wa maendeleo uliokuwapo ni kulinda wazalishaji wa ndani wanaotumia malighafi za...
Excerpts ....
I believe it is O.K. to go to the bank - or to a friendly government, for that matter - if what you are looking for is money. But you cannot turn to the bank or a friendly...
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo amemaliza kusoma bajeti ya serikali ya TSh 9.5 trilioni. Muhtasari wa bajeti hiyo...
Ni kweli uchina imesaidia sana katika kuendelea miundombinu na ujenzi wa vitu vingi sana katika afrika hili halina ubishi kabisa , pamoja na kufanya yote haya kuna baadhi ya vitu uchina inavifanya...
Shares of Tanzania's CRDB Bank rose 33 percent on listing on the Dar es Salaam Stock Exchange on Wednesday, after an initial public offering involving the sale of 18.8 billion shillings ($14.4...
Ile kampuni iliyoingia kwa mbwembwe ya Shared phone imeangukia pua. Makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Namanga yamefungwa na Bw.Rupia amefungua kampuni yake ya Real investment. mwenye taarifa...
Wadau ni muhimu kujua uchambuzi wa wataalam ktk masuala ya uchumi/fedha... Nimeambatanisha highlights za bajeti ya 2009/10 FY kwa Kenya, Uganda & Tanzania.
Nadhani kwa kuangalia hizi bajeti...
Kuna watu wanadai Uganda ina mafuta kama Saudi Arabia, nasema ndio Uganda kuna mafuta lakini sio kiasi cha kufikia Saudi Arabia. Soma habari hii.
Angelo Izama
Kampala
In a mixed set of...
Lower fuel, power, water and transport prices pushed Tanzania's annual inflation down to 11.3 percent in May from 12 percent in April, the National Bureau of Statistics (NBS) said on Monday.
Like...
Habari za uhakika nilizozipata kutoka katika chanzo cha kueleweka ni kuwa yule Bosi wa huduma kwa wateja Bw.Darren Harris amesitishwa mkataba wake huku mabadiliko makubwa yakiwa yanatarajiwa...
Date: 6/15/2009
EWURA watangaza ongezeko la bei ya mafuta karibu maradufu
Na Fredy Azzah
Mwananchi
WAKATI Mamlaka ya Kitengo cha Taifa cha Takwimu (NBS), kikitangaza kushuka kwa mfumuko wa...
I'm not Clear With Goods which are Tax free when Importing in Tanzania,Which Of these Electronic Goods are Tax free to be Imported in Tanzania: Computer,Computer Accessories,Flash Disk,Mobile...
Nimepata habari kuwa Benki za CRDB,TIB na PTA zimeikopesha Hotel ya Mt Meru ya Arusha dola million 24 za marekani kwa ajili ya ukarabati.
Sasa je, ni nani anamiliki hii hoteli kwa sasa??
Katika mizunguko yangu nimekutana na hii cement ya nje toka Pakistani iko bwelele sokonni i mean nyingi.
Serikali walipojiwa jiwa juu na viwanda vya ndani ikasema inataka fair competition.
Swali...
Wakulu,msaada kwenye tuta.
Hivi inachukua siku ngapi kwa hundi iliyowekwa Jumatatu kwenye akaunti ya Akiba Commercial Bank kuwa tayari kwa kuchukua fedha?
MPs should take call on taxation in stride
By Editor
9th June 2009
So what do our honourable Members of Parliament have to say to Sundays call by civil society organisations that...