Tanzania inflation unchanged at 12.1 pct in Sept

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
October 15, 2009

r

Tanzania's annual inflation rate was unchanged at 12.1 percent in September, the National Bureau of Statistics (NBS) said on Thursday.

"Annual headline inflation rate for the year ended September 2009 has stagnated at 12.1 percent as that registered in the year ended August 2009," NBS said in a statement on its website.

Like neighbouring Uganda and Kenya, Tanzania has experienced double digit inflation since last year due to higher commodity prices.

Food inflation eased slightly to 17.3 percent from 18.9 percent in August, NBS said.

Tanzania's annual inflation rate crossed into double digits last September for the first time in nearly ten years.

Excluding food, the rate of inflation rose to 4.0 percent from 2.0 percent in August.

Tanzania's average annual inflation rate stood at 10.3 percent in 2008, or 6.7 percent excluding food.

Source:
logo_reuters_media_africa.gif
 
Inamaanisha hali itakuwa mbaya zaidi mwaka ujao. Maana km wakati wa mavuno inflation haikupungua na chakula kinacontribute more than 50% kwenye inflation index, then next year hali itakuwa mbaya. Pia taarifa za UN zinaonyesha nchi inakabiliwa na njaa, kwa hiyo hali ni mbaya. Hapo bado tunaelekea kwenye uchaguzi pesa huwa zinamwagwa mitaani. Mh!!! Tutafika ya Kenya
 
You are correct.

At the time of harvest, one will expect inflation to be low but it is contrary to the natural laws.
 
Mkuu invisible big up kwa kuleta hii topic inayotuhusu wote. I believe that ni aibu kwa Tanzania yenye asilimia zaidi ya 70 ya wakulima, na bei ya chakula kuchangia asilimia 50 ya mfumuko wa bei. Hiki hakina justification hata kidogo. Wanasiasa watatoa excuses nyingi sana kuhusu tatizo hili, lakini ukweli ni kwamba hakuna focus hata inayotakiwa kwenye sekta ya kilimo.
 
Jamani tanzania hatuna wakulima....hiyo 70% unayoisema ni lugha za kisiasa lakini huwezi kuita kilimo cha jembe la mkono kama ni kilimo cha nchi kukitegemea.
 
Jamani tanzania hatuna wakulima....hiyo 70% unayoisema ni lugha za kisiasa lakini huwezi kuita kilimo cha jembe la mkono kama ni kilimo cha nchi kukitegemea.

Inawezekana kweli ni politiki tu, lakini swali linakuja majority wanafanya nini? Wako mijini au vijijini? Jibu linaelekea hapohapo. Issue ni kwamba kama kuna inflation ina maana hata hao peasantes hawako self-sufficient, inabidi kuwawezesha kwanza wae self sufficient, then tutaondokana na aina hii ya inflation.
 
Back
Top Bottom