CRDB reaps billions in agro loans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB reaps billions in agro loans

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Oct 19, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Written by Mbonea Israel

  Despite the effects of the ongoing global financial crunch, which has taken its toll on the country's economy -CRDB Bank Plc has managed to make pre-tax profit of more than Tsh35 billion during the past nine months of which the bank's invested significantly in the agriculture industry.

  The bank which is largest in the country in terms of net asset value of over Tsh1.64 trillion, deposits in excess of Tsh1.3 trillion and loan portfolio of over Tsh855 billion, made a pre-tax profit of Tsh60 billion last year. 

  The bank which has over 14,000 shareholders successfully listed at Dar es Salaam Stock Exchange last June with price of its shares almost doubling from Tsh150 during initial public offer to Tsh250 each during the first week of trading at the bourse.

  "I sincerely recommend our staff and clients who have remained committed to our course to remain a leading bank in the market," said CRDB Bank Managing Director Dr Charles Kimei said during the Bank's Family Day held in Dar es Salaam recently.

  Meanwhile, Dr Kimei said banks are no longer justified in charging hiked interest rates on loans given to clients because Bank of Tanzania Governor, Professor Benno Ndulu has successfully reigned in double digit interest rates paid by government securities.

  Kimei said Ndulu who took over from the late Daudi Ballali in 2007, has successfully brought down interest rates paid by treasury bills, bonds and other government securities from around 18% when he took over to five% at present.

  "Professor Ndulu has done a good job in ensuring that interest rate paid by government securities have drastically reduced," Dr. Kimei said.

  The former BoT director who took over at CRDB in late 1990s soon after the bank was privatized, said most commercial banks opted to invest their money in high yielding treasury bonds and bills instead of giving loans to clients.

   Since taking over at the central bank, Prof Ndulu has successfully pursued a new government policy to significantly reduce borrowing from the domestic market through selling government securities which has forced banks to issue more loans to the private sector and individuals. "There is no longergood reason why banks should continue charging high interest rates on loans at present although risks still exist in the market," Dr Kimei stressed.

  The CRDB boss who is credited with turning a former state owned loss making bank into a money making institution, said his bank is currently charging 12% interest rate.


  Source: East African Business Week
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  1. Pia kuna harufu ya Upendeleo ktk kufungua matawi mapya CRDB!

  Kimei anajenga tawi jipya- Marangu kule kijijini kwake..hebu niwaulizeni ni kigezo gani ametumia wakati kuna makao makuu ya Wilaya..mengi tu hakuna huduma ..na hata Tanzania Visiswani hakuna tawi hata moja?

  2. Mafanikio ndio..ila kuna upendeleo wa wazi pia!
   
 3. October

  October JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mzalendo halisi, Nadhani you are not well informed.

  Unasahau kua Marangu ni sehemu muhimu na kuna mzunguko mkubwa wa fedha hasa kutokana na sababu kwamba Marangu ndio route kuu ya kuelekea kupanda mlima Kilimanjaro.

  Yapo mahoteli mengi na Tours company nyingi zinazoshughulikia swala zima la utalii katika Mlima Kilimanjaro na makampuni yote haya hayana huduma ya Benki iliyo karibu. Vilevole zipo taasisi mbalimbali kama chuo cha ualimu Marangu na zaidi ya hayo wapo wakazi wa eneo hilo ambao nao wana uhitaji wa kuwa na huduma ya kibenki.

  Sasa sijui ungetaka kigezo gani zaidi ya hiki, au sijui kwa nini unafikiri kua watu wa Marangu hawastahili kua na huduma ya kibenki karibu. Sijui kwa nini unadhani watu wa visiwani kua wanastahili zaidi kuwa na huduma ya kibenki.

  Nadhani unasahau kua CRDB is a profit oriented company, ni benki makini ndio maana ni benki kubwa kuliko zote. Ukubwa huu unatokana na Policy nzuri za kutokufungua matawi tu bila kuona kuna return on their investment, nadhani wana vigezo vyao ndo maana wakaona kupapa kipaumbele Marangu. Naamini wakati ukuruhusu hata huko ulikotaja watafungua matawi.

  Please do not be too pessimistic on everything. Kama una sababu za msingi kwa nini Marangu pasiwe na Tawi la benki uziweke hapa jamvini sasa ama sivyo unyamaze milele.

  Binafsi naupongeza uamuzi wa kufungua tawi sehemu hiyo kwa sababu ni sehemu potential kibiashara.

  .
   
 4. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Cul bro, huwa nafurahi ninapoona watu wenye akili zao timamu wakitoa points kama hizi.

  @mzalendohalisi

  JF is the home for great thinkers, if ur not kaa kimya, sio unakurupuka tu eti anapeleka branch kwao. Ask TANAPA abt this! Wamekua wakitumia huduma za CRDB kwa muda na ndio waliopendekeza kupewa Branch, ili kuongeza ufanisi zaidi.
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  October,
  1. Au na wewe unatoka huko Marangu pia ndugu?

  2. Nasema ni upendeleo kwa vile Moshi sii mbali na Marangu..na ni kms chache na kuna tawi pale. Rombo ni mbali zaidi na ni makao makuu ya Wilaya..je ni kwa nini Tawi lifunguliwe Marangu na sii Rombo?

  3. Ni vema tupige filimbi ili asijetokea CEO akaamnua tu kupeleka Benki ya Umma kijijini kwake...!

  4. Mbarali Mbeya kuna uchumi mkubwa sana wa Mpunga..je kwa nini CRDB hawana Benki kule?

  Ni lazima kuwepo na vigezo vilivyo wazi..ktk kufungua matawi ya Benki za Umma.

  Hadi leo ukiuliza kwa nini CRDB hawana tawi Pemba na Unguja ni ngumu kujua...unadhani Zanzibar hakuna utalii zaidi ya Marangu? Mbona NBC na NMB benki hizi zina matawi visiwani?
   
 6. October

  October JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mzalendohalisi naomba nikujibu kama ifuatavyo (Your Questions in Black, My Answers in Blue)

  1. Au na wewe unatoka huko Marangu pia ndugu?
  Haijalishi natoka wapi, Ninapafahamu Marangu.

  2. Nasema ni upendeleo kwa vile Moshi sii mbali na Marangu..na ni kms chache na kuna tawi pale. Rombo ni mbali zaidi na ni makao makuu ya Wilaya..je ni kwa nini Tawi lifunguliwe Marangu na sii Rombo?
  Correction. Ni karibu Kilometa 34 Kutoka Moshi Mpaka Marangu sasa sidhani kama unaweza kutembea kwa mguu umbali huo kutafuta huduma ya benki

  3. Ni vema tupige filimbi ili asijetokea CEO akaamnua tu kupeleka Benki ya Umma kijijini kwake...!
  Kama nilivyokueleza Marangu pana Potential na ni sahihi kuwa na Bwanchi huko

  4. Mbarali Mbeya kuna uchumi mkubwa sana wa Mpunga..je kwa nini CRDB hawana Benki kule? Nadhani wakifanya tathmini na kuridhika na potential zilizoko watafungua nako

  Ni lazima kuwepo na vigezo vilivyo wazi..ktk kufungua matawi ya Benki za Umma.
  Nadhani vigezo viko wazi kwa wenye Benki sijui wewe ni mfanyakazi wa CRDB au la ili utueleze ni vigezo gani vilivunjwa. Pili sijui kwa nini unadhani "Umma' upo visiwani tu na sii kwingineko

  Hadi leo ukiuliza kwa nini CRDB hawana tawi Pemba na Unguja ni ngumu kujua...unadhani Zanzibar hakuna utalii zaidi ya Marangu? Mbona NBC na NMB benki hizi zina matawi visiwani?
  Umesema kwamba visiwani wana NBC na NMB sasa kwanini CRDB wasiwe na uhuru wa kuchagua location nyingine ambayo haina huduma hii ili waweze ku capitalize na vacuum iliyoko Marangu na badala yake wakabanane Visiwani ambapo tayari kuna Benki Nyingine????

  Sijui kwanini unadhani Visiwani wanastahili kuliko Marangu. Hujanijibu hili swali?????

  Na wewe nikuulize Unatoka Visiwani?
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  October,

  1. Mimi ni Mtz mfuasi halisi wa Mwalimu Nyerere..hakupendelea Musoma ingawa angekuwa hana maadili angeweza kufanya hivyo..na kuamuru CRDB wawe na tawi hata Butiama.

  2. Huwezi linganisha Marangu na Zanzibar! Visiwani ni nchi..na ni sehemu ya Jamhuri. Sasa wateja wengi wa CRDB wakienda visiwani hupata shida na usumbufu mkubwa kwa vile nchi hii sehemu ya Jamhuri hakuna tawi kule!

  Kumbuka makao makuu ya mikoa yote Bara CRDB wana matawi..hata miji kama Lindi ambapo kuna uchumi kidogo ukilinganisha na Zanzibar!

  Sielewi hadi leo sababu za CRDB kuelendea kuwabagua watu wa Visiwani hadi leo..na tunaona sasa anaamua kujenga Tawi hadi kijijini kwao!

  KCB wamekuja Tz miaka michache tu..na tayari wana tawi pale Unguja!
   
 8. October

  October JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hilo swala la kua Zanzibar ni nchi unalijua wewe mwenyewe, and I do not give a damn about it, as far as I am concerned Tanzania and only Tanzania is a country around here.

  Pili umeshasema kua Unguja Kuna NMB, NBC, KCB na nyinginezo nyingi sioni unasumbuliwa na ubaguzi gani wewe kutaka Zanziba iendelee kulundikiwa mabenki wakati kuna sehemu nyingine za Tanzania zenye Watanzania wenye haki sawa na wazanzibari na hawana huduma ya kibenki??????

  Una matatizo gani wewe????? Acha chuki na ubaguzi usioleta tija kwa taifa.

  Nilidhani kua ungefurahia kuona huduma za Kibenki zinasambaa Tanzania nzima kumbe unasumbuliwa na roho ya korosho ya kutaka wenzako wasipate!!. Pole sana Yakhe!!!

  Halafu acha kabisa kujiita mfuasi wa nyere kwa sababu sivyo ulivyo. Nyerere alikua mtu aliejali distribution ya wealth equally kwa watu wote,wakati mwingine alilazimika kutoa maamuzi ambayo 'were not economically viable' ili tu kuhakukisha huduma zinawafikia wananchi wengi. Wewe unachofanya ni kinyume chake kabisa unataka ukiritimba wa kulundika kila kitu kuwa Visiwani.
  Pole sana Ndugu labda useme wewe ni mfuasi wa Idd Amin Dada Ntakuelewa
   
 9. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I think this arguement isn't worth this much arguement, tumesoma arguemets zenu na tutaamua wenyewe.
  Inaavyoonesha hamna mtu anaetaka kuaccept anachosema mwenzake, so you should just cut it. Or mtuletee uthibitisho wa hayo mnayo yasema!
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  October,

  1. Naona hauko tayari kusikiliza hoja yangu! Naongelea fairness ktk kuchagua maeneo URT kufungua matawi ya CRDB! Hii ni benki kubwa!
  Hoja yangu ni kuwa kwa nini sehemu moja ya Jamhuri hadi leo hakuna Tawi hata moja?

  2. Visiwani wana vigezo vyote ..zaidi ya Marangu kufunguliwa Tawi...kuna utalii wa nguvu..biashara kubwa..uvuvi..ni nchi ina serikali..n.k

  Je wewe unaongea kama msemaji wa CRDB? Benki zote kubwa hapa Tz zina matawi Visiwani..CRBD wao wana sera gani?

  Hii ni hoja tosha!
   
 11. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  mzalendohalisi
  kuhususiana na kwa nini CRDB hawana matawi sehemu nyingine

  NMB ndio benki kubwa na ina matawi mengi TZ, ingawa ina matawi mengi sana lakini haina matawi TZ nzima na kadri siku zinavyoongezeka wanafungua matawi mengine na mwisho watakuwa na matawi TZ nzima
  hali hiyo pia ni sawa sawa na CRDB, hawana matawi TZ nzima, lakini benki inakuwa na hivyo itafikia siku wana matawi TZ nzima.

  wakati wanafungua matawi inabidi pia waweke vitu kama atm na kadhalika, hii inafanya gharama za kufungua branch ziwe kubwa sana. kufungua branch kunahitaji pesa na kuangalia vitu kama competitors kwenye eneo unaloenda kufungua branch na sio charity.

  mfano CRDB ikienda kufungua tawi sehemu ambayo NMB ipo itapata shida sana kuiba wateja, lakini wakienda kufungua eneo ambalo NMB hawapo basi watazomba wateja kibao kiuraisi.
   
 12. M

  Makanyagio Senior Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mguu mkuu kwa majajibu unliompatia Jamaa. Pia niwajulize kwamba CRDB wanafungua tawi Zinzibar SOON. Nafunga Mjadala.
   
 13. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  @mzalendo...na @october
  Niliamua kutinga pale kwa mkuu kimei kwa mahojiano zaidi, na haya ndo majibu yake. Mwaka huu watafungua matawi yafuatayo.
  1.kibaha
  2.zanziber
  3.kyela
  4.kariakoo
  5.marangu
  Hayo ni majibu kutoka kwa mkuu...je wewe mzanzibara umeridhika ss? October i stil salute u bro coz u seem 2b very understandin n matured enogh. That z ol abt JF!
   
 14. October

  October JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thank you so much ZionTZ. Uko Juu.
   
 15. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Angalau finnaly na Watu Visiwani wamekumbukwa baada ya miaka mingi!!

  Mimi niko mteja CRDB miaka mingi..sema nilitaka kujitoa kwa vile ukienda visiwani hakuna tawi..na huleta usumbufu mkubwa!

  Hivi Babati..makao makuu ya Manyara CRDB wana tawi??
   
Loading...