Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Nipo mbeya vijijini kwa sasa ni msimu wa kuvuna maharage. Kuanzia mwezi wa nne, tunaanza kuvuna zao la kahawa. Nimeona kuna watu wengi wanaojihusisha na ununuaji wa kahawa mbichi (cherry) na...
1 Reactions
5 Replies
612 Views
Habari za wakati huu wana jukwaa. Mimi ni kijana ninaetazamia kuanza biashara ya ufundi simu kuanzia tarehe 1.4.2025 Nilikua naomba kwa wazoefu mchanganuo wa vifaa pekee vya kuanzia biashara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni. Uchambuzi wa masoko ni...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Habari, natafuta simu, kwa yeyote aneuza simu yake anicheki. Bajeti yangu mwisho 200,000 Nicheck whatsapp 0622905303 Kampuni yoyote we njoo na sim yako inbox. Ahsante Muuzaji uwe dar
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Wakuu natarajia kuwa na safari ya Kampala mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili . Lengo la safari hii ni kuangalia mazingira ya biashara kwa ujumla ikijumuisha gharama za vitu, usafiri...
2 Reactions
387 Replies
80K Views
Habari wana Jamvi, ni matumaini yangu mpo salama kabisa, mnaendelea kuchapa kazi na kutafuta tonge Katika uzi wangu uliopita nilizungumzia mbinu mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia katika...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wakuu poleni na majukumu Nina wazo la kufungua Biashara ya vinywaji baridi Kwa bei ya Jumla Kwa maeneo ya Tanga. Nilikua naomba kujua je mtaji wa kiasi gani naweza kuanza nao? (Kima cha...
5 Reactions
32 Replies
38K Views
Salamu wadau, kwema? Nilikuwa nataka kujua hizo huduma hapo juu, Kwa anayetumia. Yupi yup ahead zaidi ya mwenzie? Wapi Kuna makato nafuu? Nasoma komenti
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF Kuna hizi tenda za kuomba uwakala wa kukusanya fedha za huduma mbali mbali katika vituo vya afya na hospitali za serikali. Kwa anayefahamu/mwenye uzoefu na hiyo kazi naomba...
3 Reactions
4 Replies
500 Views
Bila shaka ni wazima wa afya.Katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii ishu ya kufanya research online pia kufanya kazi ndogondogo kwenye website ya timebucks.Nilijiunga na kuanza kufanya...
5 Reactions
15 Replies
959 Views
Nilienda stationary moja nikaambiwa kuchapa nakala ni shilingi elfumoja kwa kila karatasi, jirani yake kkwa kila karatasi kuchapa ni 300, je huyu anaechapa kwa shilingi elfu moja biashara yake...
2 Reactions
2 Replies
279 Views
Habari za kazi? Naweza kupata estimates za kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua kwa matumizi ya nyumbani? Mwenye ufahamu, tafadhali naomba msaada.
3 Reactions
31 Replies
18K Views
Great Thinkers. Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda. Tuliwaambia...
3 Reactions
19 Replies
892 Views
Jinsi gani wafanyabiashara wanaotumia whatsapp wana nafasi kubwa sana ya kukua na kupata pesa kuliko wafanyabiashara wenye maduka. Binafsi nimeanza kukusanya namba za simu tangu 2021 mpaka sasa...
1 Reactions
1 Replies
495 Views
Mbunge wa Jimbo la Mpendae (Zanzibar) ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika anayewakilisha Tanzania, Mhe. Toufiq Salim Turky tarehe 20 Machi, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Kongamano la...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Natumaini ni kwema wakuu..... Naomba kujua machimbo ambapo naweza kua napata jezi mipira na viatu vya michezo pamoja na vifaa vingine hasa vya mpira wa miguu. Natamani kufahamu kule wanakonunua...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Mimi muajiriwa mpya Nina miezi 4 Kazin nipo jeshini nahitaji kukopa CRDB Million 2 nifanyie biashara Nahitaji Muongozo na Ushauri.
6 Reactions
104 Replies
4K Views
Ndio unapata pesa hadi sio poa. Kuna ukweli wowote wakuu au ni imani tu?
3 Reactions
6 Replies
341 Views
Nina kiasi cha pesa na nimekua njia panda nini nifanye cha kwanza ninunue kiwanja au nifanye biashara nikipata faida ndio nianze mipango ya kununua kiwanja maana kibaruani nimeachishwa.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…