Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hi, Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa endapo mtu atanunua gari Zanzibar na kulileta Bara. Pia masuala ya kodi yako vipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za kazi waungwana natafuta wataalamu wa uandaji wa bussnes plan, wawe na utaalamu na si wa babaishaji waoneshe uzoefu katika kazi yao.kunishauri nk. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Safaricom has had more transactions using M-Pesa than what its global rival, Western Union, has moved across the world. M-Pesa, which allows mobile phone subscribers to transmit as little as Sh50...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mussa Juma, Arusha. UPUNGUFU wa umeme katika maeneo mengi nchini, unaweza kutoweka kabisa kama Tanzania itaanza kutumia madini ya Uranium na kutengeneza nyuklia ya kuzalisha umeme. Kaimu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
It is a pity to see us unknown heroes to die unsung see? Eti benk cku hizi kutoa mikopo unaacha hati ya nyumba ama hati ya gari hakuna kitu kingine kinachoweza kukudhamini kama wewe sio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nani anafahamu bei ya Toyota hiace dungu katika showroom zetu za jijini Dar kwa sasa inafika Tsh ngapi? napendelea 3L engine, manual na je biashara ya daladala kwa hiace/vipanya bado inaweza lipa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wanajamvi , nilikukuwa nataka kupata kipato kidogo kwa kutumia Internet lakini bado sijapata wazo zuri la biashara. Nilikuwa naomba kama kuna mtu ana uzoefu au idea nzuri ambayo inaweza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna wimbo wa jamaa mmoja Kala jere100 ""waambieni'' huku mnasema tusivute wakati mnapokea ushuru wa rizzla. na mimi naomba kuuliza hizi karatasi za rizzla zina matumizi gani mengine tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mboneko Munyaga 10 October 2011 The ruins atop the Nyang'oro escarpment on the Iringa to Dodoma road via Mtera stand in majestic testimony to the place's former glory and opulence only that even...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mwenye kujua profile ya kampuni tafadali atoe dataz 1wana ndege ngapi? 2 za aina gani? 3wamiliki ni akina nan? na habari zingine kuhusu hii kampuni ya ndege ya 540...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambozzzz washkaji Kwa anayejua hili suala naomba anielimishe. Nataka nianzishe biashara ya mchanga, nikimaanisha nataka kutafuta eneo mahali halafu niwe nauza mchanga kwa makampuni ya ujenzi...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
please drop the contacts, got a huge business coming................ i need some competent people to work with. thanks
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niaje wakubwa? Natumaini mko pouwa wote,nina tatizo kidogo hapa,ni wapi naweza kuuza madini ya Tanzanite kwa hapa Dar es salaam,na labda kuna process naweza kupitia labda? Naomba mwenye uzoevu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Seriously,... maisha yamepanda kiasi hiki? Hadi tiGO mtandao ulio kuwa kimbilio la maskini saivi kupiga simu kwa sekunde ni Tsh.3.25? Kwanini hamtoi matangazo kwamba gharama zimepanda...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tunawashukuru sana TIGO kwa kudhamini blog hii ya JAMII FORUM ila tunaomba wajirekebishe kwani tumewachoka na huduma zao mpaka tunafikiria kuhama mtandao huu kama huduma zitaendelea kuwa duni na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima mbele wana JF, Naomba kufahamishwa kwa anayejua bei ya frem zilizo location nzuri kariakoo nataka kuanzisha biashara ya nguo kamtaji kangu maxmum ni Tshs 25,000,000.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba mnijuze gharama za ku-translate document (legal) kutoka English kwenda Kiswahili. Je, nitachajiwa kwa page au kwa idadi ya maneno. Na ni kiasi gani. Naomba mnisaidie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi, I just wanted to say thank you for visiting my website! What you just uncovered is a chance (and better yet, a SYSTEM) that is helping me realize my dreams of working for myself. What if it...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nafuatilia kwa karibu sana hali ya utalii nchini kenyakutokana na usalama wa nnji hii.Kwao kikiwa na shida hasa ya usalama utasikia mataifa ya magharibi wanadai eti East Africa is not safe. Ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…