Bei ya frem kariakoo kwa ajili ya kuuza nguo za jumla na rejareja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya frem kariakoo kwa ajili ya kuuza nguo za jumla na rejareja

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Wenger, Oct 20, 2011.

 1. W

  Wenger JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Heshima mbele wana JF,
  Naomba kufahamishwa kwa anayejua bei ya frem zilizo location nzuri kariakoo nataka kuanzisha biashara ya nguo kamtaji kangu maxmum ni Tshs 25,000,000.
   
 2. KIHENGE

  KIHENGE JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bei yake ni kuanzia 750,000 na inatakiwa ulipe miezi 6 mpaka mwaka!
   
 3. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bei ni 800,000 ulipe kwa mwaka na Tra ukalipe wewe kodi ya mapato na withholding tax, yeye hana shida kwani wewe ndo unahitaji ili uprocess leseni na other business docs from Tra.
   
 4. W

  Wenger JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  Nashukuru kwa msaada wenu ngoja nijipange
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu hatuna serikari kama tungekuwa nayo ingetutetea au tungeenda kulalamika, yaaani bei ya frem usipime laki 5 mpk 9 hapo bado ushuru. sasa kwa huo mtaji uliousema . sjua i jaribu unaweza bahatisha ukapata bei nzuri
   
Loading...