Msaada , internet/online business! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada , internet/online business!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Analytiker, Oct 19, 2011.

 1. A

  Analytiker Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi , nilikukuwa nataka kupata kipato kidogo kwa kutumia Internet lakini bado sijapata wazo zuri la biashara. Nilikuwa naomba kama kuna mtu ana uzoefu au idea nzuri ambayo inaweza kuwa applicable kwa mazingira yetu hapa Tanzania kwa kutumia Internet kupata kipato anisaidie katika hili.
   
 2. e

  elf miaka Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazo lako zuri analitk.tungoja wny ujuzi wakushauri ila mi nnachoweza kukwambia inabidi we mwnyw uwe mbunifu km unataka kutumia internet mana siku hizi ubunifu ni mwingi mno mpaka nahisi kuna watu watavuliwa ajira bila wao kujua.nmecome across information zinazowaelezea hawa jamaa wa br solutions na idea yao ni km wamereplace madalalikistyle mana wanadili na almost vitu vingi madalali wanavovunia hela na wameviweka jst on ur fingertips.nafikiri watajitangaza.mi nmesoma kwny habari leo hizo news.so b creative ukitaka kujihusisha na ishu za net.
  All da best
   
 3. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Uko tayari kujitoa kwa mda gani?? Una mtaji wa shs. ngapi ?? Mfano umeacha kufanya hiyo biashara.....utaendelea kutengeneza pesa??
   
 4. j

  jaynsemwa Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuingia OneGreatMovie
  Angalia, sikiliza, then call me ktk 0788002001 au 0655222588 kama unataka kuelewa zaidi. Ni moja ya biashara unayowezafanya through internet.


   
Loading...