Biashara ya mchanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya mchanga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Oct 20, 2011.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mambozzzz washkaji

  Kwa anayejua hili suala naomba anielimishe. Nataka nianzishe biashara ya mchanga, nikimaanisha nataka kutafuta eneo mahali halafu niwe nauza mchanga kwa makampuni ya ujenzi. Wanakuwa wanaleta malori yao na kuchukua mchanga na kunilipa. Hii inafanyikaje?
   
 2. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 80
  Kwani wewe mwenyewe unajua nini kuhusu hii biashara, kwa kuanzia.

  Maana ni sawa na mtu kukurupuka usingizini ghafla akasema "nataka kuanzisha benki, niambieni inakuwaje washkaji."
   
 3. c

  changman JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa jamani ningekuwa najua ningeuliza!!!
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kama huijui haItolipa.............fanya utafiti wako mwenyewe mitaani sio humu JF...........kukusaidia MCHANGA uko aina nyingi.....kifusi? wa plaster? wakujengea? wa zenge? wa mbagala? wa bunju?..na je hili wazo ulilipata wapi? uliona wengine wakifanya au ni pipe dream yako?

  Kwa msaada matafute mtu anaimbwa sana na Twanga anaitwa Nteze wa Nteze 0754 260750
   
 5. c

  changman JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Niko nje ya bongo ndo maana nafanya research kupitia humu. Mchanga nnaotarget ni ule wa kujengea nyumba na majengo mengine. Nina kamtaji kangu ndo maana nafikiria kukainvest huko. Ninaweza kupata eneo maeneo ya ruvu pwani.
   
 6. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hii biashara sichangii...Imeharibu mazingira sana kwetu Makongo karibu na shule ya St Columbus na kibaya zaidi polisi na maafisa wa mazingira wanadaka chao wanaondoka yaani malori yanapishana kama kuna mgodi wa mchanga Mto Mbezi. Tunanjiandaa kuchukua sheria mkononi labda itasaidia.
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Fanya urudi kwanza nyumbani ndio ufanye utafiti
   
 8. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Maofisa mazingira wapi? manake hili suala kisheria ni la serikali ya mtaa na wanachi wenyewe mzuie uchimbaji huo holela mkishindwa nendeni..Halmashauri hapo mkishindwa iteni watu wa NEMC...
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahaha, mi mwenyewe sichangii wala nini. Sijui huwa wanachimba bila utaratibu wa kueleweka. Mto mbezi wetu unazidi kuharibika.
   
Loading...