Jirani zetu noma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jirani zetu noma!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kubingwa, Oct 19, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nafuatilia kwa karibu sana hali ya utalii nchini kenyakutokana na usalama wa nnji hii.Kwao kikiwa na shida hasa ya usalama utasikia mataifa ya magharibi wanadai eti East Africa is not safe. Ina maana East Africa ni kenya tu,jamani wanajf?
   
 2. s

  shwishwi Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio wanaojua kujitangaza kuliko sisi
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wao wanajua kujitangaza na kufanya biashara, sisi tumekalia wizi, ufisadi, na longolongo kibao.
   
 4. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  KWA KWELI HILO MI PIA LINANIPA TABU SIKU NYINGI SANA,NILISHUHUDIA KWA MACHO YANGU MTANGAZAJI WA CNN hali ya hewa akisema neno HABARI akisalimia KENYA na akimaanisha KISWAHILI NI CHA WAKENYA,
  NASKIA HUKO MPAKANI WANAJENGA UWANJA WA NDEGE KARIBU NA MLIMA KILIMANJARO,HUKU WAKITANGAZA NJE YA NCHI KUWA UKITAKA KUUONA NENDA KENYA,ATAKAETAKA KUUPANDA WANAMPELEKA NA WANAINGIA TZ KWA PESA NDOGO SANA UKILINGANISHA NA WANAZOCHUKUA KENYA.
  SO WADHUNGU LAZIMA WAWATAMBUE WAO TU SIYE TUMELALA DOROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
Loading...