Wapi wananunua Tanzanite | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi wananunua Tanzanite

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Dio, Oct 20, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Niaje wakubwa?
  Natumaini mko pouwa wote,nina tatizo kidogo hapa,ni wapi naweza kuuza madini ya Tanzanite kwa hapa Dar es salaam,na labda kuna process naweza kupitia labda?
  Naomba mwenye uzoevu anijuze.
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nenda pale nyuma ya kituo cha Zimamoto wapo Tanzania Gems bei zao nzuri.
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  poa mkuu ntawafuata pale
   
 4. c

  changman JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Good luck man. Mi napenda watu wanaojaribu na kufanya mambo yanayowaendeleza kimaisha na ku encourage wenzao. Big up!
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pamoja sana
   
Loading...