Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna watu wanaingia kwenye biashara kwa sababu wamesikia, “Hii biashara ina hela sana.” Anaona mtu mwingine anauza bidhaa fulani, anapata faida kubwa, anaendesha gari zuri, anajenga nyumba na...
5 Reactions
9 Replies
663 Views
Leo hii, kuwa na biashara nzuri pekee haitoshi. Unaweza kuwa na bidhaa bora, huduma nzuri, bei nzuri na eneo zuri la biashara, lakini kama watu hawajui kama biashara yako ipo, ni vigumu kukua kwa...
3 Reactions
5 Replies
189 Views
Uwekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam unahitaji mwongozo sahihi, akaunti rasmi ya uwekezaji, na dalali mwenye leseni. Dalali ndiye kiungo kati ya mwekezaji na soko. Kupitia dalali...
1 Reactions
3 Replies
313 Views
Habari wanajamvi, Naomba kupewa muongozo kuhusu biashara ya kuuza maziwa fresh na mgando kwa mji wa Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na Vifaa vinavyohtajika Upatikanaji Gharama za manunuzi Na eneo...
9 Reactions
47 Replies
18K Views
Not every shilling invested is a shilling working. Capital without strategy is just expense. Before you invest, you should know What is the return? What is the risk? What is the opportunity cost...
1 Reactions
1 Replies
119 Views
KWA MAHITAJI YA SIMU,LAPTOPS NA SPEA ZA MAGARI KAMA INJINI,GEARBOX,TAA,INJECTORS,SPARK PLUGS ZENYE UBORA WA HALI YA JUU KUTOKA DUBAI NJOO UAGIZE NASI. SALU DXBTZ GENERAL TRADING NDIO SULUHISHO...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! 🇹🇿 Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Hello natafuta simu nzur kwa ajiri ya matumizi ya video shooting, ningependa kujua ni toleo lipi na Sony, lenye bei ya wastani, lipo vizuri zaidi, Bajeti yangu ni 500k - 800k
0 Reactions
8 Replies
342 Views
Habari zenu waheshimiwa? Naomba niwaeleze jambo moja muhimu ambalo linaweza kusaidia baadhi ya watu humu ndani wakajipatia kipato cha ziada. Sisi ni HAMIA DIGITAL tunahusika na huduma za...
1 Reactions
7 Replies
199 Views
Wakuu Nina wazo lakufungua sehemu ya michezo kama ya funny city.je wataalamu wakutengeneza madude Yale kama ya funny city wanapatikana wap
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Will the future world economy be dominated by optimistic or pessimistic? the economy with Ai and energy crisis.
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema Benki hiyo imeuza Tani 5.1 za dhahabu kati ya tani 35.4 ilizokuwa nazo kwenye akiba hadi wiki iliyopita, na hivyo kubakiwa na...
0 Reactions
9 Replies
259 Views
Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia...
18 Reactions
358 Replies
158K Views
Biashara ya huduma za miamala ya simu na huduma ndogo za kibenki ni miongoni mwa biashara zinazohitajika kila siku. Watu wanahitaji kutuma na kutoa pesa, kuweka fedha, kulipa bili, kununua...
2 Reactions
4 Replies
897 Views
Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
orodha ifuatayo ni ya mabilionea wa Tanzania katika soko la hisa la dar es salaam 1.patric schegg $104m or tzs 275.99b crdb na nmb 2. sajjad rajabali $86m or tzs 226.44 nmb 3. Aunali rajabali...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Wengi wetu tulilelewa na wazazi waliofanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha tunapata chakula, elimu na mahitaji muhimu. Baadhi yao walijenga nyumba, mashamba au biashara. Wengine hawakufanikiwa...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Kampuni ya ndege ya British Airways imetangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Uingereza na Tanzania kuanzia Mei 2027, hatua inayolenga kuongeza usafiri wa watalii na wasafiri wa...
1 Reactions
2 Replies
148 Views
Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na...
4 Reactions
27 Replies
456 Views
Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya...
2 Reactions
5 Replies
130 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…