Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana JF Baada ya kuona matangazo ya Banjuka na Nduki ya TTCL Broadband Niliamua kujiingiza kama mwanachama mpya. Niliyoyakuta ni Wizi Mtupu! Ndani ya wiki nilitumia 10,000! kila nikiwapigia hamna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania has banned the export of raw tanzanite gemstone. Minister of Energy and Minerals William Ngeleja announced the embargo last week saying the action was taken to spur development of the...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
WAHESHIMIWA, nahitaji kutransfer pesa online (kwa kutumia online banking) from a tanzanian bank to an american bank...sio kwamba nazificha labda mimi ni fisadi hapana, nimeshaishi kule kwa muda...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salam wanabodi, Msaada kwa mwenye ufahamu juu ya gharama ya Sports Rim za Suzuki Swift 1.3 (Aluminium Alloy Rim) ikiwa full na tairi au hata rim peke yake. Naomba bei za wauzaji wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kama unasumbuka na bei za mbolea ambazo ni bei juu na kemikali kibao,njoo uonyeshwe mbinu mpya ya kutumia ambayo haihitaj mbolea za kemikali bali utayari wako. kwa maelezo zaidi wasiliana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kufahamu mtaji wa kufungua biashara ya duka la Foreign exchange kwa pesa za kigeni,Kima cha chini kabisa niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia,na Taratibu za kupata kibali cha kuendeshea...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF wote. Kwa wakati huu mimi nimo katika mpango wa kuanzisha biashara yangu dar na zanzibar. Biashara yangu hii inahitaji kila ofisi kuwa na matumizi ya network in full (inter...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
It seems that this Good Sir has got an argument with Wawi MP Hamad Rashid.He says the MP is accussing him of having 5 passports; 3 Belgian passports,and 2 Burundi passports. He says he has been...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Extractable oil potential Zanzibar exclusive economic zone is 2 billion barrels. Zanzibar population about 2 milliion. Now the intresting part- wealth per head= 2000 oil barrels per Zanzibari.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wapendwa mzee wangu alinunua hisa ktk twiga cement,wakala wao wa hisa ni core securities ltd.sifaham wapo wapi kwa sasa nasikia wameamisha ofisi kwa anae faham wameamia wapi anijuze.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Fredy Azzah JUNI 12 mwaka huu, Kamati ya Viongozi wa Dini ya masuala ya Uchumi na Haki za Binadamu (ISCJIC), ilitoa ripoti yake kuhusu uchumi wa nchi na kuonyesha Serikali inapoteza Sh1.7...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kuna kuna jamaa mmoja anafanya kazi uhuru media na amenidokeza kuwa gazeti la Uhuru linajiendesha kwa hasara na kwa kutegemea ruzuku katika chama kutokana na kususiwa na jamii kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Nimebahatika kupata Tshs 85mil Kama urithi baada ya kuuza Nyumba yetu iliyoko katikati ya jiji, Ndoto yangu ni kujenga Nyumba ya Ghorofa kupitia hela hii, Na Kiwanja kilichopimwa tayari...
1 Reactions
86 Replies
17K Views
Hapa kuna mifano ya Mchanganuo wa Biashara, japokuwa hii ni kutokana na mazingira tofauti; lakini naamini tunaweza kujifunza kitu. http://www.bplans.com/sample_business_plans.php
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani kama mjuavyo hii ni JF Business Club sasa kila kukicha tunaangalia namna ya kuongeza kipato sasa hebu tuambiane hivi mtu anaweza vipi kuingiza pesa kupitia hii windfall ya uzinduzi wa gesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu kwa jf members,mimi ni mhitimu wa adv diploma in acc,nikiwa mwaka wa pili nilifungua kampuni pamoja na kaka zangu,malengo hasa ilikua ni ku deal na music system hire na electrical...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani mtakubaliana nami kuwa mshahara wa mfanyakazi wa kawaida wa serikali kuwa hautoshi kwa maisha ya sasa. Kutokana na suala hilo wengi wetu huona ni heri mtu akifanya kitu cha ziada ili...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
For those of who have not have the opportunity to read this, angalia vile tunaibiwa!!! Yani mpaka Rwanda wanaget more than us. Source http://www.theeastafrican.co.ke/news/Tax Tanzania is losing...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kuna jamaa kanisaidia kupata mkopo kariakoo , branch ya stanbic ,wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara walio kariakoo bila security , kaniuliza kama kuna watu wapo interested, if you are...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
dar - zenji
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…