Kwa wanaotaka mkopo wa benki fasta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaotaka mkopo wa benki fasta

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ben van mike, Jun 21, 2012.

 1. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  wadau kuna jamaa kanisaidia kupata mkopo kariakoo , branch ya stanbic ,wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara walio kariakoo bila security , kaniuliza kama kuna watu wapo interested, if you are intersted mcheki jamaa 0717178455 atakusaidia
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nini sifa za kupata huo mkopo?, Riba ikoje?, hatua gani wanachukuliwa wanaoshindwa kurudisha?
  Barclays nao walianza hivo hivo, leo wanafunga matawi kumi. Hivi Hizi Bank huwa hazina vitengo vya Utafiti?
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Standard bank group wamejipanga sana! Sio sawa kuwafananisha na barclays group wanaochemsha nchi za africa. Barclays wanakochokifanya sasa kwa NBC Tanzania matokeo yake yataonekana soon!

   
Loading...