Thanx to JF, mafanikio nimeanza kuyaona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thanx to JF, mafanikio nimeanza kuyaona

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mopalmo, Jun 21, 2012.

 1. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Salamu kwa jf members,mimi ni mhitimu wa adv diploma in acc,nikiwa mwaka wa pili nilifungua kampuni pamoja na kaka zangu,malengo hasa ilikua ni ku deal na music system hire na electrical installation and repairs,mambo hayakwenda kama nilivyotegemea,hali ilikua mbaya sana ila ninawashukuru kwa dhati kwa kunipa moyo nikaweza kuvumilia,kwa kweli mchango wa hili jukwaa ni mkubwa mno kwangu,bila ninyi nadhani ningeishia njiani,sasa hivi tumeanza kupata tenda na tumeanza kujiimarisha
   
 2. Mike Mushi

  Mike Mushi JF Founder

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 253
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Mkuu Tunashukuru kusikia JF imekusaidia sana.

  Sio vibaya ukatembelea hapa

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/280845-jamiiforums-premium-member-subscription.html
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
 4. Mike Mushi

  Mike Mushi JF Founder

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 253
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yaaap... Tunawezeshana sio?
   
 5. K

  Kim Kinny Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Bwana. Ni kweli JF inatusaidia sana.
   
Loading...