Cheti cha kukusaidia usilipe ushuru bandarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheti cha kukusaidia usilipe ushuru bandarini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Sep 14, 2012.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari wanajamvi

  Naomba kuelimishwa kidogo. Nasikia kuna mamlaka za kiserikali wanatoa vyeti maalumu kwa makampuni ili kuyawezesha kuingiza bidhaa nchini bila kutozwa ushuru bandarini, bidhaa mfano magari, matrekta na mashine mbalimbali. Mwenye uelewa huo tuelimishane
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Excemption ya Tanzania Investment Center (TIC) ni Tax incentive ambayo unapata siyo tu kwa kuagiza vogue enje hata bidhaa za ndani .... wanakuondolea VAT .... lazima ujisajili kama mwekezaji
   
 3. c

  changman JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukiacha kuwa mwekezaji, ni vigezo gani vingine inabidi uwe navyo ili kupata hiyo certificate?
   
 4. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Mwanachama wa C.C.M.
   
 5. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Freemasons.
   
 6. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  taasisi za dini, donor funded project (dfp), watumishi wa serikali kwa mara ya kwanza, diplomatic & diplomatic mission, EPZ & SEZ, hospitals, hotels(kinachoagizwa lazima kiwe kwa matumizi ya hosptal/hotel eg bed, furniture ambulance etc). Kwa haraka nakumbuka hyo list, ina vitu vingi zaidi ya hapo.nikipata muda nita-paste toka EAC-CMA
   
 7. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,864
  Likes Received: 2,791
  Trophy Points: 280
  Hebu wanaojua zaidi watujuze! Maana kulikuwa na mkanganyiko kwamba exemption imefutwa. Zamani NGOs zote na taasisi za dini zilikuwa zinapata exemption kila walipotaka kuingiza mizigo kutoka nchi za nje!
   
 8. c

  changman JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aisee unaweza nitumia hiyo link yenye hizo list?
   
Loading...