Wafanyakazi tunaumia kwa mzigi wa kodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi tunaumia kwa mzigi wa kodi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kamkoda, Oct 31, 2012.

 1. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi nashauri TRA isimamiwe na taasisi huru ili kukagua maeneo ya kodi ambazo hazijalipwa. Hapa mjini kuna maduka ya hardware hayaguswi hata kidogo kwa kuwa wenye mali wanautaratibu na maofisa waandamizi wa TRA. Kuna ofisa mmoja pale USA RIVER ( wa TRA yeye anazungukia makampuni ya kitalii na kuwatengenezea hesabu ili mambo yao yawe mazuri) huyu nahisi anatakiwa kushughulikiwa na vijana wa uamsho.

  Nina hasira sana jasho langu linarambwa muno!
   
 2. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa anakisuzuki chekundu!
   
 3. J

  Jajani Senior Member

  #3
  Nov 3, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu wangu,
  unadhani yuko peke yake ? Huo ni mtandao wa wachakachuji wanaojali matumbo yao na ya marafiki zao tu. Wezi wakubwa, wasio na huruma.
  Narudia kusema hao ni wajumbe wa ibilisi yule shetani mtembea kwa miguu. Wanaibia nchi kwa kudhamiria siku zote ili watajirike, duh !!
  Iwepo sheria ya wananchi wenye hasira kali waliojua maovu yao wawatwange na kuharibu historia yao mbaya, na wasihukumiwe kwa maana wanadai haki yao ya msingi toka kwa wezi wachache.
   
 4. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mie nakubaliana nawe. kodi za wafanyakazi ndo zinaendesha sirikale ya mk.w.re. tra imefunga ndoa na wezi na wahujumu, huku wafanyakazi hawana pa kutokea. tra inawaogopa wanyabiashara. ngoja niache kazi nikafanye biashara sasa.
   
Loading...