Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
For the past 5 days nimekua nikifanya conversation na Wafanyabiashara wengi as a result ya Ile thread ya Fines za taxes. Kuna kitu kimoja ambacho nimegundua wafanya biashara wote wanacho...
0 Reactions
5 Replies
440 Views
SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE. Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Habari wanaJF, Natumaini mmeshinda salama. Mimi niko hapa naaga ijumaa taratibu. Kwa wasabato ni siku ya maandalizi, na kwa walokole na waroma itakuwa mfungo endelevu, bila kusahau mwezi mtukufu...
4 Reactions
5 Replies
666 Views
Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii. Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni. Wanunuaji wazuri wa makolokoro, Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
1. WAFANYABIASHARA WADOGO Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics, 👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia. 🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu...
1 Reactions
0 Replies
452 Views
FURSA YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KATIKA UCHIMBAJI WA DHAHABU – GEITA & SHINYANGA Karibu Wadau, Kwa niaba yangu, Amani Robani Makuju, mjasiriamali na mwenye uzoefu katika sekta ya madini, ninawapa...
3 Reactions
1 Replies
677 Views
#sale LUXURY 4 BEDROOMS MANSION FOR SALE ☀ ASKING PRICE::: 950,000,000 Tshs ☀ PLOT SIZE : 456 SQM ☀ CLEAN DOCUMENT TITLE DEED ✨ Location:: MAKUMBUSHO ✔️ 4 Bedrooms Fully Ensuit ✔️ 2...
0 Reactions
2 Replies
462 Views
Imeandaliwa na Smart Finance SW Mikopo ni fedha unazokopeshwa na benki au taasisi ya kifedha kwa masharti ya kulipa ndani ya muda fulani pamoja na riba. Riba ni kiasi cha pesa unacholipa zaidi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nimeanzisha biashara yangu nje na biashara zangu kuu , nauza mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla bei zangu ni rahisi sana yaani "ONLY MAYAI SHOP" Trei 1 nauza 8,500 Napatikana Mbezi...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
… May 2022… Ndio mwaka ambao nilianza kuelewa siri ya kweli ya utajiri... Kabla ya hapo, nilikuwa naamini kuwa njia pekee ya kuwa tajiri ni kufanya kazi kwa bidii, kusave kila senti na kuepuka...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania wengi tunahitaji kupenda kujifunza kuhusu kitu unachotaka kukifanyaaa... Angalia mfano Biashara Tz saiv kuna trends kila mtu anataka kuwa mfanyabiashara na akidhanii ni kitu cha wepesi...
2 Reactions
0 Replies
300 Views
Anaandika, Robert Heriel Ni Watu wajinga pekee watakaoamini mambo ya Pesa kupotea kimazingara, ati kupotea kichawi! Chuma Ulete! Yaani ati unaweka Pesa kwenye kibubu labda laki tatu za...
35 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari wana JF, Mimi ni software engineer mwenye uzoefu, na nina ham kubwa ya kuingia kwenye ujasiriamali wa kiteknolojia – hususan kutengeneza mifumo inayotatua changamoto kwenye jamii yetu...
2 Reactions
4 Replies
517 Views
Jamani Nina hitaji hichi kifaa kinaitwa MAGNETIC QUANTUM ANALYSER kina pima maradhi mwilini ninashida nacho, So anayeuza au kama unafahamu mahali kinapouzwa Ninakihitaji haraka iwezekanavyo.
0 Reactions
2 Replies
285 Views
Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck), Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakuu nina milioni 5 hapa kama mtaji mbali na pesa ya kulipa kodi ya frem na tozo nyingine. Kodi ya fremu nategemea kuanza na shilingi laki 2 mpaka 250k Location popote penye wingi wa watu...
7 Reactions
58 Replies
7K Views
Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
ENEO LENYE FRAME ZA MADUKA LINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 400 SQM BEI NI BILLION MOJA,MAONGEZI KIDOGO YAPO NI CORNER PLOT,KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKASI DOCUMENTS:TITLE DEED...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Back
Top Bottom