Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanajamii, napenda kuuliza kwa yeyote anayejua ni shirika gani la ndege linaloenda Dar-Maputo(Msumbiji) na nauli yake ni approvimate shilling ngapi kwenda na kurudi? Nahitaji msaada. Asantei.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
yenye uhakika na itanipa daily cashflow kwan nikiichezea narisk maisha ya mke na watoto 2,ni mkopo wa mshara kukatwa nusu
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Habarini za shughuli, Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali. Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu Nategemea...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
kiwanja kikubwa 3/4 heka kinauzwa kipo Mbezi Luis karibu na st. annes academy school, kina Hati. Gari Toyota Noah 2002 model namba mpya inauzwa. cell 0717 295 295.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wapenda mie ni mteja wa Equity Bank. Chakushangaza toka Alhamisi ya Trh14 2013.Hakuna huduma ya kutoa pesa sio kwenye ATM Machine wala Kaunta adi leo hii.ukiuliza shida nini wanadai network...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hii simu inauzwa laki 3.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua namna ya kufanya company name search brela. Je lazma niandike barua brela au kuna online search na vipi malipo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hellow ladies and gentlemen, kwa kipindi hiki mimi bado niko shule naelekea kumaliza masomo. lakini baada ya hapa nina mpango wa kuanzisha kampuni ambayo itakayokuja kuhusika na mizigo, yaani iwe...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Ukiniuliza mimi nitasema sababu zifuatazo; 1. KODI NINAYOLIPA 85% INAISHIA KWENYE MATUMBO YA WATU BINAFSI NA WEZI SERIKALINI 2. JAMAA WANATAKA RUSHWA SANAAAA YAANI KOTE,POLISI,TRA,ARDHI,JESHINI...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Kodi ni jambo la msingi, na sioni tatizo la mashine za risiti za EFD Ila naona haki kubwa walionayo wafanya biashara kugomea hizi mashine. Juzi tu hapa tulisikia wote mshahara wa Rais mkubwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hakuna kitu kinaniuma kama kupata kwa jasho kali (Serikali kukamua walipa kodi) na kisha kutumia kwa DEZO?????????!!!!!!!! Mfanyakazi wa sekta binafsi na umma hususani mwalimu na baadhi ya idara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari!!! Kwa mwenye ufahamu: Naomba kujua bei ya mchele "SUPA", unauzwaje huko Mbeya mashambani? Nataka kufanya biashara hiyo.
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Ninauza bata wa kawaida wa rangi nyeupe na rangi mchanganyiko (nyeupe na nyeusi......) kwa bei ya Sh 15,000-25,000. Anayehitaji anitafute kwa namba hii hapa : 0718424824. Karibuni sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa kiseke b mwanza kina hati sqm 900 . bei ya mwisho 23m.kina mawe trip 10 na maji na umeme yapo hapo hapo. ~~pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninauza bata wa kawaida wa rangi nyeupe na rangi mchanganyiko (nyeupe na nyeusi......) kwa bei ya Sh 15,000-25,000. Anayehitaji anitafute kwa namba hii hapa : 0718424824. Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
973 Views
hi wanajamii, naomba wenye experience na gari hili wanipe data za kulihusu eg durability, maintanance, fuel consumption etc etc Asante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SAOM INVESTMENT LIMITED BRELA REG,# 73521 PLOTS, FARMS FOR SALE IN BAGAMOYO AND KIGAMBONI. 1. Bagamoyo PLOTS A.Plots zipo Kitopeni,Kilometer 5 toka Bagamoyo mjini,Kilometer 2.5 toka barabara kuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba msaada, mwenye kujua hatua za kufata ili kuweza kununua nyumba za TBA zinazojengwa Bunju au eneo lolote hapa Dar anifahamishe. Kama mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana mmu. Naomba wenye uzoefu namalorry aina yaScania itakayofaa kwakazi yakubeba kokoto namchanga ni ipi kati ya 113h,112h, 114h 93m au 93h 124L hapa nahitaji ulaji mafuta , service...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Ifuatayo ni Technique tunayotumia kuiba kodi kupitia mashine hizi zilizoletwa na sirikali na TRAAAA; Unanunua mashine 2 unaingiza settings zinazofanana isipokua moja inakua ina act kama client na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom