Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za muda huu wandugu Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Nimekutana na hii huko kwenye mtandao Je hapa Kwetu Viongozi wetu wote Bila kujali aina ya nafasi wa sasa na waliopita wangekuwa CEOs (Finance) ingekuwaje? au kwa maana nyingine unadhani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Kila siku nasikia tu shinda pikipiki tano na shs Milioni mbili...binafsi ningetegemea nione majina ya washindi kama tulivyp zoea kuyaona kwenye promosheni nyingine yakiwa waziwazi kwenye TV...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari jamani,,, Naomba anaejua kampuni yoyote au mtanzania yeyote alowekeza nje ya tanzania anambie,, At least 10,,,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have a comprehensive business plan for tourism investment in Tanzania (Northern Circuit) I know there are what are called Angel Investors - I am looking for ones. Kindly assist me with links or...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau natafuta mtu anayeweza kuandika REPORT nzuri ya mkutano utakaofanyika Dar kwa siku mbili trh 28 na 29. Akiweza kuwa MC itakuwa vizuri zaidi. Response needed before midnight today! Weka...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Hope all is good have started my company dealing with tourism,but the main chalLenge am facing is the way of getting customer. Please assist.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hamjambo wa JF woote, poleni na majukumu. jamani naombeni msaada wa kujuzwa yafuatayo. nini maana ya maneno yafuatayo,kazi zake na tofauti yake mipakayake 1 TRADERS. 2 INVESTMENT. 3...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Ndugu wadau, Napenda kujitokeza mbele yenu kwa lengo la kuwatangazia juu ya uuzwaji wa mmoja wa mgodi wa kuzalisha dhahabu kupitia marudio kama ifuatavyo: 1. Mgodi huu upo mkoani Mbeya...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Hellow! Kwa wale wanaotafuta nyumba za kupanga katika wilaya ya kinondoni maeneo kama makumbusho kijitonyama mwananyamala mikocheni na mengine tafadhali tuwasiliane kwa Namba 0716...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu wa jukwaa la watu wazima wenye akili zao timamu. Naombeni msaada wa taratibu za kufuatwa ili mtu aweze kufanya biashara nje ya nchi. Mf. Tz na china, uganda, kenya, au nchi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania Tourism has surpassed Gold Foreign Exchange. Vivutio Tanzania: Tanzania Tourism beats Gold earnings. Back to number oneVivutiotz: Tourism Attractions in Tanzania and Africa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu Mimi ni mjasiriamali Mkoani Mbeya nahitaji kufungua diagnostic center Kwaajili ya vipimo vya ultrasound EEG ECG X-ray na laboratory ya damu, sifikirii kua na matibabu labda kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kuna ndugu yangu kanifuata kuniomba ushauri kwamba anataka kufungua dry cleaner na ana tsh milioni tatu. Anauliza ni vitu gani vinatakiwa kwenye biashara hiyo,msaada wajameni tumsaidie dogo
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau Hongereni kwa majukum mbalimbali ya Ujenzi wa Taifa letu. mimi ni mchuuzi wa spare za pikpiki kutoka China ,kwa hali ninayoona nina wasiwasi sana na biashara yangu kua itafikia mwisho muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Salaam, Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya, Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Serikali iliahidi itafuatilia li turudishiwe ni lini? Wapi? Kuna mwenye taarifa please?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TANGAZO ndugu wanachama wa Jf Eneo linauzwa zaidi ya nusu eka lipo Pugu Kajiungeni wilaya ya Ilala-Dsm, eneo lipo nyuma ya shule ya msingi Pugu Kajiungeni. Kuna barabara inayoingia kwenye eneo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naombeni mnijulishe fursa za kijasiriamali dodoma kwa mtaji wa 2m.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom