Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

GUIDE to running a BUSINESS like a PROFESSIONAL (MWONGOZO wa kuendesha BIASHARA kama MTAALAMU)RUNNING YOUR BUSINESS LIKE A PROFESSIONAL (The Eight Steps) is a new addition to the book manuals from...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana niliangiza gari toka Japan,, gari imefika wiki hii na documents pia ila tatizo ni kuwa Appraisal and inspection certificate haziko included, nimewasiliana na seller kasema hatukubaliana...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Wadau kutokana matatizo ya ajira hapa Tz nimeona nijiajiri mwenyewe,baada uchunguzi wa soko la biashar adar kuona lina ushindani mkubwa nimeona ni bora niangalie upande wa mikoani km dodoma mjii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
uwekezaji mzuri unatakiwa uwe na faida walau asilimia ngapi kwa mwezi? Wasalamu! nadhani swali langu litakuwa limeeleweka.Ningependa kujifunza kupitia kwa watalaam wanao pitia katika jukwaa...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Msaada wana JF kwa mdau aliefanya business ya kutumia mashine ya max malipo, faida yake inakuaje kwenye hizi mashine, na kipi ni bora kuwa na max malipo machine au kwenda moja kwa moja kuwa na M...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wanauchumi msaada wenu apa kwenye hili swali. -Draw hypothetical supply and demand curve for tea show how the equilibrium price and quantity will be affected by each of the following. 1...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sina nia ya kuharibu biashara ya mtu bali najaribu kuiokoa jamii ya Watanzania wenzangu na hasa watoto. Nimevumilia kwa muda mrefu kero ya tangazo hili la "Hakatwi Mtu Hapa"! tatizo langu ni pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF...! Niende kwenye mada moja kwa moja, Mimi ni mtaalamu wa masuala ya utafiti. katika tembea tembea yangu hapa nchini na kwingineko nimegundua kuna uhaba wa watu fulani kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie mtu anayejua jinsi ya kutengeneza pipi na marigafi zinapatikana wapi, na kuweza kupata radha tofaut tofut, au kama unajua wapi pa kupata ushauri pia nitashukuru. Na pia je...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Kwenye mtaa ninaoishi ndani ya miezi sita iliyopita nimeshuhudia watu watatu wakifilisiwa mali zao baada ya kushindwa kulipa mikopo ya biashara. Na wiki iliyopita maeneo haya haya ulifanyika...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau, Natafuta Toyota Passo ya mwaka 2004 au 2005,nzima, iwe imelipiwa ushuru au kama inatumika, isiwe na zaidi ya mwezi 1 Tanzania.Bei iwe kuanzia mil 5.5 hadi 6.5... Rangi yoyote isiwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba kufahamu gharama za vitu vifuatavyo katika ujenzi kwa mkoa wa Dar na wapi naweza kupata vitu hivyo na ubora wao 1: Madirisho ya Grill 2: Madirisha ya Vioo 3: Milango ya...
0 Reactions
17 Replies
54K Views
habari wana jf naitaji kujua kwa anae jua soko la vioo kenya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wadau, ninayo dhamana na wazo la biashara lakini kutokana na mfumo wetu wa kibenki hawakopeshi biashara mpya(start up),ndio maana nimekuja hapa. Nahitaji mkopo wa tshs m 100-150,na zamana...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Je unatatizo la Unene? I’ve battled with my weight for years. I finally decided to take charge. I may have seemed happy with myself but like a lot of people was desperately unhappy with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
how to start a successful business
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahojiano ya DSE na Makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la hisa la Dar es salaam Stock Exchange, makampuni hayo ni Precision Air, TCC na CRDB. Part 1 part 2
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nikiwa mjini Bujumbura niliiishiwa na fedha za kigeni na hivyo kuwa na shida ya kubadili takribani shillingi millioni 2 za Tanzania nilizokuwa nimebakiwa nazo mfukoni ili nipewe ama AMARUNDI au...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kuwa Wanywa Bia Hawalipi Kodi ya Aina Yoyote Ile WanapoKunywa Bia Zao, Inapendekezwa Kuanzia Kesho KODI YA MAENDELEO KWA WATU HAWA IWE NI SHILINGI ELFU SABINI NA TANO KWA KILA DAKIKA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom