Mgodi wa marudio ya dhahabu - unauzwa.

Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
501
Ndugu wadau,

Napenda kujitokeza mbele yenu kwa lengo la kuwatangazia juu ya uuzwaji wa mmoja wa mgodi wa kuzalisha dhahabu kupitia marudio kama ifuatavyo:

1. Mgodi huu upo mkoani Mbeya, wilayani Chunya katika eneo la mamlaka ya mji mdogo wa Makongolosi, katika eneola kijiji cha Mwaoga.

2. Mgodi upo katika uzalishaji mpaka sasa.

3. Mgodi unazo tank 12, ambapo zote zinafanya kazi kiuzalishaji.

4. Mgodi upo katikati ya msitu, nje kabisa ya maeneo ya shughuli za binaadam na mifugo.

5. Vipo vibali vyote kuendesha mgodi huo.

6. Mgodi unao hifadhi ya mchanga upatao tani 4500 na ambazo kwa idadi ya tanks unaweza knouendesha uzalishaji kwa kipindi cha miezi 4 pasipo kusimama uzalishaji.

7. Mgodi unao camp ndogo inayoweza kuhudumia malazi kwa watu 20 na chakula watu 30 kwa wakati mmoja.

8. Ni ruksa kutembelea na kujionea kwa mawasiliano maalum, hii ni kuzingatia sheria za usalama migodini (safety first).

9. Mgodi huu unamilikiwa na Mzalendo, hauna m'bia katika uwekezaji.

Napenda kukaribisha wadau wote katika ujasiriamali katikauzalishaji huu wa dhahabu, ni uzalishaji dhahabu kupitia udongo wa marudio na sio uchimbaji wa dhahabu.

Hii ni biashara, hivyo kwa walio na dhamira ya kweli basi tunaweza kuwasiliana kupitia namba zifuatazo kwa maelezo zaidi na ufafanuzi kiuhitaji.

+255 754539812
+255 755800252

PM pia zinaruhusiwa katika mawasiliano.

Rock City wa JF.
 
Je kila tank lina ujazo gani? hayo marudio yaliyokuwepo ya average grade gani? vipi ore mineralogy yake ni nini. Kuna Shaba au Salfa. Vipi upatikanaji wa maji?
 
Kwanini umeshindwa kuoperate?
 
Je kila tank lina ujazo gani? hayo marudio yaliyokuwepo ya average grade gani? vipi ore mineralogy yake ni nini. Kuna Shaba au Salfa. Vipi upatikanaji wa maji?
Mkuu SINA
8-tanks zina ujazo wa 20-tonnes, 4-tanks zina ujazo wa 25-tonnes.

Average ya grade ni 3-5grammes per tonne.

Ore yake imetokana na mawe.

Hakuna shaba wala salfa katika ore yake.

Maji kipindi cha masika ni mengi sana ila kiangazi huwani tabu kwani hupatikana umbali upatao kilometa moja.
 
Last edited by a moderator:
Kama unaendelea kuzalisha, maana yake ni kwamba mtaji sio tatizo. Vp upatikanaji wa marudio na gharama yake?
 
Back
Top Bottom