Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mwenye gari aina ya Noah nataka niingie nae mkataba niwe namletea shs 200,000/= kwa wiki ninayo tenda ya wanafunzi WA chekechea ubungo nani naishi ubungo shule inafunguliwa wiki ijayo tarehe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni mwanajf, natamani sana kufanya biashara ya simu kutoka kwenye makampuni husika kwa njia ya mitandao kwa kutumia website zao zinazorushwa mitandaoni kwa njia ya matangazo ili niweze kuuza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo kimara. Nina mil.1 naomba wazo la biashara. Nisije nikaila yote sikukuu hii
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, mimi nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza juice ya maembe ila sijafahamu wapi exactly yanapopatikana maembe ya biashara..msaada tafadhali.....Naishi Kinondoni Dar..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please visit DSE Blog and Social media pages for more information about Stock exchange. facebook: https://www.facebook.com/dsetanzaniia twitter:https://twitter.com/dsetanzania Blog: Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya, wakati tukiendelea kuukaribisha mwaka mpya hebu tuukaribishe na mtizamo huu katika biashara, kwamana kwamba kuna ukweli wowote katika mitizamo hii ama la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi wakati mwingine hua sielewi serikali inawaza nini...tatizo si la wafanyabiashara tatizo ni approach iliyotumiwa na serikali na tra katika kusambaza hizi mashine za tra.Safari hii imekuja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naomba mnipe bei manake naona wachina wanatupiga bao kwenye nchi yetu.hii n fursa sio ya wachina tu
0 Reactions
5 Replies
4K Views
KWA MAHITAJI YA KUANDIKIWA WRITEUPS ZOZOTE kwa ajili ya jambo lolote mf. Business, miradi ya kijamii na ya kiuchumi, tafiti, marketing, facility use etc, Wasiliana nasi, tupo mbeya mjini, firm...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Nina kibiashara cha mini super market sasa nataka kufanya biashara ya malipo kwa mtandao yaani mpesa,tigo pesa,eatel money na kuwa wakala wa luku,mwenye ujuzi na haya mambo anishauri nianzie wapi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama Unajiusisha Na Biashara Tajwa Hapo Juu Nipigie 0765111010 ili nikuonyeshe soko lilipo sio kukaa tu na bidhaa hapo kariokoo, tukiaminiana tunaweza form uhusiano wa kibiashara, ila uwe unauza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf. Nauliza ninaweza pata wapi miembe ile ya muda mfupi? Je ninaweza panda na minanasi pamoja na hiyo miembe kwenye shamba moja? Location ya shamba ni kimanzichana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naitwa ally ni mwanafunzi wa UDSM mwaka wa tatu nauza simu aina tofauti kama sumsung galax s1-250,s2-350,s3-650,s4-850,note 1-450,note 2-700,note 3-mil1.3,pia kuna huawei 150,sumsung duos 250,na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Maeneo ya kitunda mwembeni,na kina nyumrba usawa wa madirisha yenye vyumba vitatu sitting room,master mbili na jiko na uwanja mkubwa eneo linaruhusu gari kupita umeme umefika na pia karibu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nawatakia mafanikio, amani na afya njema katika Mwaka Mpya unaokuja wa 2014. Mwaka 2012 tuliregister Limited Company by Guarantee without Share Capital. Tukaenda TRA tukapewa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza kuhusu hii kitu ni kwamba kuna mwana JF mmoja alikuja na maelezo yanayohusu kujiunga na CareerDollar kisha kutengeneza pesa bila ya kutumia nguvu nyingi. Sasa wana jf wengi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya TZ ilisimama vizuri kutetea kampuni zao na naunga serikali ya TZ mkono hapa, hiyo inafaa iwe sheria kila pahali; maduka ya retail yakifunguliwa yanafaa yauze vitu vya local sio kuleta...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Great opportunities are always blurred when they originate. Here is one of those, a free opportunity to become a Founding Member of next generation global App and hence get opportunity to leave...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Habari ya hapa wakuu... Leo katika jiji la mwanza ni taafulani baada ya wafanya biashara wote hapa kutanga mgomo kwa siku zisizo julikana, lengo ikiwa ni kufikisha ujumbe kwa TRA, juu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ac,radio cd, back convertible seats, registration bjr....,cc1500,front wheels for 6,800,000 tsh only. Call or text 0659 574107 serious buyer only.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom