Hivi Jino moja la Tembo ni shingapi?

Polite

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,156
2,000
wakuu naomba mnipe bei manake naona wachina wanatupiga bao kwenye nchi yetu.hii n fursa sio ya wachina tu
 
Korosho

Senior Member
Nov 30, 2007
132
195
Katika documentary moja ya BBC, ilidaiwa kwamba jozi moja ya meno inanunuliwa kati ya dola 3000 mpaka 5000 kutoka kwa wauzaji/majangili wa nchini. Jozi hiyo ikisafirishwa na kufika China inauzwa kwa dola 25,000.
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,458
2,000
Vipi unalo tufanye dili faster? NiPM maana hapa akina Kinana Wako wengi
 
Bingwaman

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
550
195
Katika documentary moja ya BBC, ilidaiwa kwamba jozi moja ya meno inanunuliwa kati ya dola 3000 mpaka 5000 kutoka kwa wauzaji/majangili wa nchini. Jozi hiyo ikisafirishwa na kufika China inauzwa kwa dola 25,000.

Dah! No wonder tembo wanateketezwa katika mbuga na hifadhi zetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom