Napenda kuutumia muda huu kimshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kimaliza masomo yangu katika chuo kikuu cha dar es salaam. Pia napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya...
Kheri ya mwaka mpya kwa wana biashara wote.
Nimepata deal la second hand car tires kutoka moja ya wadau wangu wa muda mrefu. Mdau huyu anasema ana uwezo wa ku-supply haya magurudumu kwa kiasi cha...
Watu tumeamua kujiajiri katika kilimo lakini cha kuskitisha hakuna soko la uwakika. Huku songea kipindi cha mavuno serikali ilinunua mahindi kilo kwa tsh 500 kwa muda mfupi ikatangaza kuishiwa...
kichwa cha somo hapo juu chahusika.. kwa aina nyingine iwe ni toyota tu isipokuwa hizi aina ya mark II sijui na nyinginezo zinazotumika sana kama za tax (hizo hapana). bei taja bei, mwaka na...
Habari zenu wakuu,
Nategemea mnaendelea vizuri na pirikapirika za kujitafutia kipato.
Nashkuru kuifahamu jf, kwa kweli ni sehemu muafaka ya kuzidisha maarifa binafsi ya fani fulani na ya maisha...
Do you want your career or business to soar like the EAGLE in 2014?
Then join B.I.R.D.S- Business Information & Referral Development System
Ever wonder why you have worked very hard and yet very...
Not all of the travel companies do enough job to provide consumers with an inspiration to book holidays online. As online travel going more social, holidaymakers trust more their friends and...
Ndugu zangu naomba msaada tafadhari ninao kuku 180 wakisasa wa nyama wapo mjini Dar Mtaa wa Ukonga Moshi bar kwa anaehitaj bas ani PM tufanye kaz
NB: Kuku ni wazur wote na bei yake ni nzur...
habari waheshimiwa.naomba msaada wenye
uzoefu na haya mambo.kuna jamaa yangu
alimuona muuzaji ktk site ya Nifahamishe uza na
nunua.ana uza mobile phones location hungury
ila contacts zake za...
nina kama milion10 naitaji kununua gari za kuagiza inje ya inchi mfano japan, hiyo hera nimetenga pamoja na ya kulipia ushuru,naombeni mnisaidie inakuwaje utaratibu wa kuagiza na aina ya gari...
Nimesikia matangazo ununuzi wa hisa za Mwanza Community Bank PLC umeongezwa muda, Biashara hii ya Hisa kwangu mimi imekaa ki-speculation zaidi kwa maana unawekeza/unatupa pesa zako huko lakini...
wana jf naomba mawazo yenu nina laki tano najikanganya kati ya kufuga kuku wa kienyeji na kulima viazi mviringo, au ninunue shamba nipande miti. nashindwa kuchagua,msaada wenu ni muhim sana tafadhali.
wana JF baada ya kuwepo kwa vingamuzi vingi nchini sasa nahitaji hki cha azam nikijaribishe naomba kwa wenye kujua vinapatikana wap maeneo ya Mbez-temboni kimara au maeneo jirani siihitaji kwenda...
Failure to implement single customs territory a costly mistake. Rwanda;Burundi Uganda kuhamia Mombasa
Standard Digital News - Mobile Site | Kenya :: Brave new dawn as EAC single customs...
Mwezi wa kwanza kabla haujaisha nitakuwa tayari nimeanza kufuga nguruwe kidogo, kuku kidogo na mbuzi kidogo.
Naombeni mnisaidie kutunga jina ambalo ji zuri, lina kumbukika kirahisi na ambalo...
The Manta Resort on Pemba Island, off Tanzania, opened a new Swedish-designed underwater bedroom this month. The resort says six guests have stayed in the new digs so far.
The three-level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.