Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Madini aina ya Uranium KWA UFUPI Maliasili nyingine za madini, gesi na mafuta iwapo hazitasaidia kutatua matatizo na kuboresha huduma za kijamii kama afya, elimu umeme na barabara ni sawa na...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Baada ya noti ya shilingi mia tano kuwa kwenye mzunguko mkubwa hivyo kuchakaa mapema,benki kuu ya Tanzania imeamua kuleta sarafu ya shilingi miatano mwaka huu wa fedha inayotamiwa kudumu kwa miaka...
0 Reactions
129 Replies
42K Views
nna mtaji wa laki nne naombeni ushauri wa biashara ya kufanya
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Msaada mimi ni mgeni kabisa kwenye biashara ,frame ninayo ninataka nianze biashara lakini haya mambo sijui ya TRA na TIN number ,naweza kutafuta sasahivi au badae? na wanafuatilia hata vibiashara...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Msaada Wa kimawazo tafadhali, wajasiliamali tunaamini moja kati ya rasilimali za kumiliki ni HISA, Mimi sina uzoefu kabisa kabisa kuhusu HISA, ntapataje uzoefu?, Je kampuni gani zinalipa vizuri...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
How Tanzanians banked last year Share Bookmark Print Email Rating “Gone are the days when someone who lives in Kigoma was...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Jaman mimi biashara yangu ya nyama ya .... Imekwama wiki kadhaa sasa!wateja hamna
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This unique program presents a system which is customizable to suit each individual's personality and strength. It reduces every selling situation to a four stage process, which eliminates all...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
wakuu habari.... tuna tractor mpya kwa bei poa sana hasa massay fergurson za aina zote mfano mf 385 4wd hp 85.... kwa maelezo na maelekezo tulipo tutafute 0713774746
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BUBBLY NI BIDHAA BORA KABISA ZA USAFI, ZINAPATIKANA KWA UJAZO WA KUANZIA LITA MOJA,TANO NA LITA 20 JUMLA NA REJAREJA.DUKA LETU LIKO MIKOCHENI KARIBU NA TMJ HOSPITAL TUNATIZAMANA TANESCO,DAR FREE...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
University of Dar es salaam The public needs not to worry about the many plastic bags that continue to pollute the country especially urban areas, thanks to a Japanese method that has been...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu wife anataka afungue saluni ya kike ila mimi au yeye hakuna anayejua chochote kile hasa juu ya ni vifaa gani viahitajika. Mtaji anao ni wa milioni moja tu vipi unatosha kwa hiyo kazi...
0 Reactions
3 Replies
20K Views
  • Closed
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao)...
5 Reactions
191 Replies
27K Views
  • Closed
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel...
14 Reactions
273 Replies
40K Views
Unit Trust Fund of Tanzania (UTT) Katika maelezo niliyoyapata kidogo kwenye internet ni kwamba wananchi wanawezw kufaidika kupitia wao kwa kununua hisa, but how does it works? Ni hisa kiwango...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
PLEASE BOT TAKE CARE CRDB BANK INATUCHANGANYA AU NDIO KUFA ? 1. Internet statement hazieleweki , ziko nusu nusu, not up to date 3 to 10 days behind very RISK 2...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Wiki tatu zilizopita niliimport mzigo toka UK. Mzigo ulilipiwa before kufika so nikajua immediately baada ya kufika utakuwa cleared. Bahati mbaya haikuwa hivyo porojo a kesho kesho...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
Ndugu zetu maofisa wa GPSA (Government Procurement Services Agency) kunani? Mbona taratibu za kutoa majina ya wazabuni zimechukua muda mrefu mno kipindi hiki? Ama kuna wajanja wanachelewesha kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wajameni nina 5M ninataka izunguke ilinipate japo pesa ya kulipia mtoto ada bila kubangaiza. Msaada wenu wa mawazo nitauheshimu sana na kama nikifanikiwa na idea ya mtu baada ya miaka miwili au...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Back
Top Bottom