Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu Wanajamvi Mie Ninayo Mashine Ya Kukoboa Na Kusaga Ipo Kijijini Kwa Siku Si Haba Inanipa Siyo Chini Ya Tsh.15000,naomba Msaada Wa Namna Ya Kuirasimisha Ili Niweze Kuiendesha Kibiashara Ili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"We need to run the risk, because the greatest risk in life is to risk nothing. The person who risk nothing does nothing, and has nothing. is nothing and does nothing. he or she can avoid...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
tunaomba waandaaji wa maonyesho ya 8/8 arusha muongeze juhudi katika kutangaza maonyesho, ni aibu kwa mfanya biashara kulipa kiingilio kwenye maonyesho alaf hapti msaada wa kutangaza biashara...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana Jamvi. Naomba mwenye taarifa anijuze , inawezekana kufungua biashara yaWestern Union kama huna bank kama wakala wa M-Pesa au Tigo Pesa wanavyojitegemea? Sent from my BlackBerry 9320...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inaskitisha sana kuona hujuma za waziwazi zinazofanywa na mafisadi kuhujumu juhudi binafsi za wazawa katika shughuli nzima za kimaendeleo kama kinachoendelea kwenye mabasi ya Dar Express...
0 Reactions
229 Replies
33K Views
Hello everyone ,I am new to this forum and am excited to connect with everyone in this forum.I am writing from Zambia and i need advise.How can i connect with my fellow tour operators around the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri. Kwa ufupi nataka kufanya biashara ya kusambaza mchanga na kokoto, ila kabla ya kuanza ningependa kujua yafuatayo . Biashara hii ipoje? . Sehemu ya kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka kuagiza mzigo wa sabuni,lotion kutoka china,naomba kujuzwa kuhusu utaratibu wa kupata import permits.Ina bidi niombe Tfda na tbs au taasisi moja tu kati ya hizi mbili? Nime omba test...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mara ya 2 narudi jukwani wana jf kwani mara ya 1 sikupata support,ni kwamba:- 1.je,kuna incubator automatic inayotumia solar power? 2.kama ipo,ya mayai 3,000 inauzwaje na inatumia watt ngapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani nahitaj vile viduka vya airtel vilivyotoka sasaivi au vile vya portsman kwa anayejua vnapatikana wapi na bei yake ikoje tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi. Napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza, Nina mpango wa kununua Nissan X Trail mana nimevutiwa nalo kimwonekano. Anaelifahamu vizuri gari hili anijuze...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie mchakato wa kuanzisha kampuni ya tours ya kupandisha watalii mlima kilimanjaro na gharama zake kwa anayejua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wenye taarifa kuhusu hili watujuze, vipi TRA wamesha anza kutumia sheria hii kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha? Mwenye kujua naomba anijuze.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaribu kufanya hivi hata mwezi mmoja tu uone utapata sh. ngapi? Moja ya siri ya mafanikio ni pamoja na ubahili, ufuatao ni mkakati ambao utakufanya uwe moja kati ya mabahili wakubwa ndani ya...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Anayefahamu kuhusu asilimia ya riba ukiweka pesa m-pawa na hiyo riba inatolewa baada ya muda gani?anipm au anitxt kwny 0715-140001
0 Reactions
9 Replies
4K Views
jamani kichwa cha habari chajieleza. Nipeni ushauri juu ya aina gani nzuri kwa mazingira yetu haya hasa kati ya sanlg na boxer
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Dar es Salaam. Little is known about the journey of most of Tanzania's richest people as they rarely share their experience with the public. But Reginald Mengi-one of the richest men in...
7 Reactions
26 Replies
7K Views
TCRA Communications Manager, Innocent Mungy The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has reiterated that the exercise of switching off analogue broadcasting system across the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetumia account hii (sio akaunti yangu) nikiwa na lengo la kufikisha ujumbe huu. Jina langu naitwa Blessing(sio mmiliki wa account hii) nIna umri wa miaka 19 ni mzaliwa wa TANGA ninaishi DAR...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kwa sasa ndipo songea kikazi na kampuni moja ambayo ina utaratibu mgumu, sipati nafasi kuchomoka kuja dar. Nahitaji smartphone mpya isiyozidi laki tatu. Hapa songea maduka yoote ni Tecno na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom