Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau naomba Msaada pls nataka kuanza ujenzi wa Msingi(Foundation)Mafundi wananichanganya sana,ipi Cement bora kati ya Rhino ya Dar,Tembo Cement ya Mbeya Na Twiga Cement ya Tanga? Sent from my...
0 Reactions
30 Replies
20K Views
Habari ya majukumu wakuu? kwa wenye uzoefu wa hii biashara pls, naomba kujuzwa faida zake na hasara zake, kwa ujumla maana nna kamtaji nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya vinywaji vikali na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
OMEGA 3 SALMOIN OIL PLUS ****************** WHY omega 3 salmon oil?! *Binadamu huitaji kiwango kidogo tu cha mafuta ila wengi wetu hula zaidi. Tunahitaji 1g tu ya mafuta kwa siku ila wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Naomba kuanza kwa kupongeza mfumo mpya wa ulipiaji ushuru kupitia mfumo wa money transfer. Mfumo huu utapunguza kwa kiasi kikubwa upotevu wa mapato na utawezesha au unategemewa kuwezesha...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Federal Bank of Middle East (FBME) A day after the local media reported plans by the Central Bank of Cyprus (CBC) to look for buyers to take over branches of the Tanzania-based Federal Bank of...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania risks having its products locked out of the rest of East Africa from November, as it lags behind in adopting harmonized regional standards. The harmonized standards were set by the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makampuni au wataalam wengi wanapofanya decision huwa wanaforecast environmental changez zinazoweza ku affect maamuzi yao. Lakini Sio kwa hapa Bongo. Juzi juzi tu tumeona makampuni ya vinywaji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ushauri
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hallo Wana JF Pamoja na kuwepo kwa Utitiri wa Viwanda Vya Cement hapa BONGO lakini Bado wengi hukimbilia Cement za Nje. Umewahi kujiuliza kwa nn Viwanda vya vyote hivi na bado Cement...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wadau, mimi nashangaa sana. Mlimani city unakuta samaki samaki pamejaa kupitiliza hadi tunasimama hapa parking area, lakini spots za pembeni wahudumu hadi wanabembeleza watu kuingia lakini...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
ushauri
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WATCHDOG: The Bank of Tanzania (pictured) is investigating US claims linking Dar-based FBME bank to “wire transfers related to suspected shell companies” with ties to terrorists and organized...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Are you interested in becoming a small business consultant? If yes, then we invite you to attend the " HOW TO START A SMALL BUSINESS CONSULTING SERVICE" seminar. When: August 2, 2014...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina wazo la kufungua kibanda cha m-pesa, nina mil.1, taratiBU zikoje? Na vipi kuhsu faida, inatokeaje?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Uganda itaanza utengenezaji wa magari mwaka wa 2018, imetangaza serikali ya Uganda. Profesa Sandy Stevens, ambaye ni afisa mkuu wa mradi unaopanga kuanzisha uundaji wa magari hayo, anasema ifikap...
0 Reactions
63 Replies
11K Views
Ndugu zangu wa jf habari za muda huu? Najua sasa ni mfungo na pengine tumekua tunachoka sana maana lazima tushughulike ili tupate chakula chetu cha kila siku wakati dini nayo inatudai kutimiza...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
hivi cash economy tz itaisha lini jamani? mtu anaenda dukani na milioni tano, milioni kumi anaenda kufanya shoping na mihela kwenye begi! kwanini tz tusiweke mipaka, mfano: kuanzia manunuzi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Dodoma Ipagala North,karibu na makole secondary! Contact me; 0714 664361,sms or whtup
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaume nimeagiza gari japani na ninatakiwa nitume hela bank ya huko. Utaratibu upoje kwa Benki za kibongo. Account yangu ipo CRDB.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom