Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Bank of Tanzania (BoT) Tanzania's economy is projected to sustain growth of above 7 per cent in 2014/15, backed by ongoing investments in infrastructure particularly roads, railways and power...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini Jf, naomba mnijuze gharama za kutoa ghari hii bandarini Dar es salaam. Make: Toyota Model: Mark II Blit Year/month: 2007/3 Cc : 2490 CIF : 1850 USD.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya mambo yanayonifanya ninyongee ndani ya Taifa langu, ni pamoja na thamani ya shilingi. Mimi sio mchumi lakini najisikia vibaya sana niendapo Dukani hasa ya wahindi ambako natakiwa nilipe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ivi unafanya biashara na umemtumia mtu kukusaidia na umemuahidi utamlipa bahati mbaya umepata hasara ujapata faida na umekata mtaji na uliemtuma anadai malipo inakuaje hapo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za muda huu wana jf. Naombeni kujuzwa wapi ninaweza kupata huduma ya barcode kwa ajili ya bidhaa yangu kwa Dar es salaam. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye gari aina ya Noah nahitaji tuandikishane niwe namletea hesabu kwa wiki 130,000/= nipo Dar es salaam na biashara itakuwa hapo hapo, 0714064767 nipigie ili tuongee
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii ni baada yakuona interest za watu wengi for the online business: Tunasaidia watu kununua bidhaa online: Iwe ebay,amazon na online store nyingi tuu.. Kwa kuanza tunasaidia wale wanaotaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa TRA imeisitisha hii kampuni kuleta magari Tanzania!? Kuna yoyote aliyetoa gari bandarin. Wiki hii from any company?? Any truth, What is the problem??
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Duuu inasikitisha na kufadhaisha leo hii KWA TREND HII YA BOT; UCHUMI WA TANZANIA ULALE MAHALI PEMA PEPONI.! Siungi mkono hoja ya Benki kuu (BOT) kufuta noti ya Sh.500/= na kuifanya sarafu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimemsikiliza Rais Kikwete akitoa ufafanuzi juu ya jinsi wawekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta watakavyolipa gharama zao za uwekezaji. Hata hivyo, katika maelezo ya Rais kuna jambo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
PLEASE LET TRUSTED- RESEARCH & CONSULTING MANAGE YOUR NEXT MARKET RESEARCH FIELD WORK PROJECT IN EASTERN & CENTRAL AFRICA: TRUSTED- Research & Consulting is a full service market research field...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In A Surprising Move, Mexican Billionaire Carlos Slim To Sell Telecom Assets In Compliance With New Anti-Trust Rules Comment Now Follow Comments...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta soko la asali mbichi ambayo haija chemshwa,ipo ya kutosha kwa wale wanaohitaji. Lita moja shilingi elfu kumi. Ni asalia ya nyuki wakubwa. Ukihitaji ni PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari kaka na Dada tunawezaje pata kibali TRA/brela cha biashara kwa kufuata taratibu sahihi. Tupo wilaya ya kinondoni Hakuna taratibu yoyote imefuatwa/ kuanzwa ndio mwanzo kabisa. Mbogo kwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimechukua frame sasa nataka niweke LUKU nijitegemee ,gharama zake zipoje? nataka kujua range ya bei niweke bajeti Kwa wanaojua msaada
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wadau niaje? wadau mlio import magari karibuni na kufanya assesment mwezi huu wa 7 2014 kodi wamezikokotoa vipi? je sheria ya uchakavu miaka 8 imeshaanza kutumika kwenye assesment...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CHANGIA HOJA HII... Je kuna haja ya "SABASABA" kuendelea kuwa SIKU YA MAPUMZIKO KITAIFA? 1-Maundhui yake yamebadilika kutoka kuzaliwa TANU hadi WAKULIMA na sasa sio wakulima tena bali ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
East Africa’s first commodities exchange, linking farmers and producers of other goods to agricultural and financial markets, was launched in Kigali last week, creating fresh opportunities...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kama kunamtu anashida ya mchanganuo wa biashara au company profile au ushauri wa biashara kwa biashara yoyote. Tuwasiliane kwa namba 0718979093
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom