Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel.
______________
Shops & Clothing:
______________
- Starbucks
- Tesco
- M&S
- Disney Shop
- McDonalds
- Hugo Boss
- Sunglass Hut
- GAP
- Giorgio Armani
- Calvin Klein
- Ralph Lauren - Playtex
- Banana Republic
- River Island
- Timberland
______________
Drinks:
______________
- Coca Cola
- Fruitopia
- Fanta
- Kia Ora
- Lilt
- Sprite
- Sunkist
- Evian
- Volvic
- Nescafé
- Nesquik - Perrier
- Vittel
______________
Foods & Chocolates:
______________
- Nestle
- Maggi (Noodles)
- Buitoni
- Crosse & Blackwell
- KitKat
- MilkyBar
- Quality Street
- Smarties - After Eight - Aero
- Lion
- Polo
- Felix (Cat Food)
______________
Makeup/Perfumes & Health:
______________
- L'Oreal
- Clinique - DKNY
- Prescriptives - Origins - La Mer
- Bobbi Brown
- Tommy (Perfume)
- Bumble & Bumble
- Kate (Cream)
- Johnson & Johnson (Baby Oil)
- Huggies
- Garnier
______________
Others:
______________
- Arsenal Football Club
- AOL
- Time Warner Time Life Magazine
- CNN
- Barbie
- Intel - Motorola
- Kotex
- The Sun
- The Times
- Australian Newspapers
- National Geographic
- Star Channels (Indian)
- Sky
- Fox
- Nokia
- Standard Newspapers
- New York Post
- The Telegraphed
- Independent
Kuna uwezekano wa kugome vyote hivyo?au lazima tuishi chini ya himaya ya hawa jamaa?
 
Inamaanisha Israel wanahisa kwenye hizo mambo au ni vp...sijaelewa
 
Si ndio masna mrekani hana sauti kwa israel kwa kuwa uchumi wa marekani.unashikiliwa na hawa jamaa
 
mbona hukuweka Manchester united,chelsea,West Ham na Tottenham???ambazo wanaozimiliki wote wana asili ya kiyahudi???kumbuka R.Abramovic aliwahi toa 40m dollars kuisaidia govt ya Israel siku za nyuma...ni mrussian jew...
 
ustaadh huwezi kupiga konzi mkuki, hujui ulisemalo subiri muda wa kwenda kula umekaribia baada ya kushinda njaa kutwa nzima.

Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?
 
Kwa hiyo makao makuu ya hayo makampuni yote yako Israel?

Kama ni hivyo kwa nini sasa Israel haina uchumi mkubwa zaidi duniani?

Usipende kubisha kila kitu kaka, vinamilikiwa na wayahudi na kumbuka wayahudi wote duniani ni wamoja, wanaile wanaita state of nationalhood hata kama hawaishi Israel wanaelewa pale ndio nyumbani na wanatakiwa wapalinde.

Kwani African Barick ni kampuni ya Afrika? inamilikiwa na nchi yoyote ya Afrika?!!
 
Basi kama Israel inauza bidha kila nchi hapa duniani ingekuwa inaongoza kwa pato hapa duniani. Hiyo post haina ushahidi tupa kule
 
Basi kama Israel inauza bidha kila nchi hapa duniani ingekuwa inaongoza kwa pato hapa duniani. Hiyo post haina ushahidi tupa kule

Waambie hao!

Manake sijui hata wanachokiongelea ni kitu gani.

Halafu, iweje Israel kama ndo inashikilia uchumi wa dunia ipewe misaada na Marekani?
 
Usipende kubisha kila kitu kaka, vinamilikiwa na wayahudi na kumbuka wayahudi wote duniani ni wamoja, wanaile wanaita state of nationalhood hata kama hawaishi Israel wanaelewa pale ndio nyumbani na wanatakiwa wapalinde.

Kwani African Barick ni kampuni ya Afrika? inamilikiwa na nchi yoyote ya Afrika?!!

Kwani hiyo?

Hata Ethiopia kuna Wayahudi lakini ni Wa Ethiopia.

Uchumi mkubwa hapa duniani upo Marekani tu.

Na Marekani ndo taifa kubwa pekee hapa duniani.

Na Marekani inaipa misaada Israel.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom