Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

siku mbili zilizopita tulikuwa tunaulizana mbona biashara yetu ya mazao imekuwa ngumu hainunuliwi bei mbovu wenye maduka nao wanalia ukienda sokoni nayo wanalia hela imekuwa ngumu . tukaulizana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu nahitaji kuanzsha hii biashara, kwa wazoefu nini changamoto ili nijipange
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman mm nina nia kweli ya kufanya blogging au website kui run..Nina ideas nyingi za Ku apply lkn kabla sjaingia napenda kujua malipo yake yakoje na pia nifanyaje ili nipate malipo zaidi Naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
heshima kwenu wadau sisi ni vijana tulioamua kujikwamua na tatizo la ajira kwa kubuni kipindi kizuri cha kuoneshwa katika tv.kipindi hiki kinahusu kurekebisha mienendo ya...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mwezi huu wamekithiri. unahamisha hela kwa mobile inapotea hewani, unajazishwa fomu pale kaunta unaambiwa baada ya masaa 2 utarudishiwa. unakaa siku 8 . baada ya masaa 2 kila saa kila muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Big up Dr Mwakyembe na TPA na team nzima kwa kazi nzuri
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau mliobobea katika nyanja hiyo naombeni kunishauri jinsi ya kupata usajili wa kuwa Mshauri wa Kodi.Ni vema ukatoa na ushauri jinsi ya kuondoa vigwazo kama vipo hasa TRA muda gani unaweza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kwa wale wenye expirience na pesa pesa za kgen naombeni mnisaidie kufahamu kama hii pesa bado inaendelea kutumika na kama inatumika inathamani ya shiling ngapi za kitanzania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HAVING played host to one of the earliest gold mines in the country, a small dusty town in Mbeya Region is poised to become a significant producer of rare earth elements. Some 189 kilometres from...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika, Marafiki hao naomba wawe na sifa zifuatazo.... Wasio na tamaa Wenye uvumilivu na wanachokifanya. Wenye kujituma Wabunifu Uwe tayari kufanya kitu kwa niaba ya...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
wadau me nimevutiwa sana na ushaur wa humu ndani,jaman me sina mtaji mkubwa lakin nataka nifanye kilimo,nimepewa assignment ya kutafuta wazo la kilimo,ambalo gharama zake ni ndogo ndo hapo...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wana jamvi, Naomba kujuzwa taratibu,gharama na mambo ya muhimu yanayohitajika ili kuweza kufungua kampuni ya clearing and forwarding hapa Tanzania. Nategemea kupata michango mizuri ya...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Naomba kuelewesha kama ulshakopa platinum, kuna hasara na faida gan kukopa platinum company kwa mtumishi wa serkal?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, Je inawezekana kutuma pesa kutoka safaricom Mpesa kuja Vodacom Mpesa? Naomba mwenye kujua anijuze. NB: Nimejaribu kupiga simu Huduma kwa wateja vodacom lakini kwa bahati...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wale wenye Connections ama kuhitaji kuwekeza eneo jipya linalokuwa kiuchumi wa Gesi na Cement ya Dangote Mtwara tunawatangazia kuuza Eneo zuri la Kibiashara Ukubwa-22,700 Sq Mtrs...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niwasalim wajuvi wa mambo na wale tusiojua juu ya hili tutafaidaka na msaada wa wenye ujuzi juu ya hili. Kwa siku kadhaa nimekuwa nikipigiwa, tumiwa sms na kuelezwa juu ya kujiunga na Forever...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji mbolea ya kuku gunia 10 kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia kunipa conection na wafugaji wa kuku au wanaouza hiyo mbolea
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Paypal id ni nini? ID yako ya PayPal ni barua pepe yako ama email address ambayo umefungulia Paypal account. Kwa lugha nyingine Paypal id is your email id ambayo uliitumia wakati ukifungua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa hivi kutoka Dar es salaam kwenda Dubai kwenda na kurudi ni dollar 700 wakati wiki 3 zilizopita ilikuwa dolla 1000 na kitu. Kwa wale wanaotaka kutembea au kwa biashara huu ndio wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom