The local currency has depreciated by tzs 25 in the last month month only! Its currently trading at 1680 against 1690! Why is BoT quiet? Inflation will remain above their medium term target of...
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime...
Kwa wanajamvi wajasiriamali mlioko jijini Mwanza naomba mnitengulie hiki kitendawili. Kuna jamaa yangu anajaribu kuanzisha biashara jijini Mwanza; tayari kalipia leseni tangu mwanzoni mwa mwezi wa...
Acha kusumbuka tena na madirisha feki, njoo Eagle Aluminium ujipatie madirisha ya aluminium original kutoka Dubai (120,000per Sqm), uPVC Window - TSh. 230,000 per Sqm.
Pia njoo ujipatie bidhaa...
The number one affodiable website hosting company in Tanzania. Get free domain name with hosting package for Tshs 65,000 only. Visit us for more details www.bongowebhost.com
Habari zenu wakuu....je biashara mchele wa jumla jijini arusha unalipa?je mtaji wake unaweZa kua bei gani?na huwa inakuaje....naomba kueleweshwa tafadhali....
Heshima zenu wakuu!
Nimefungua duka la Simu na Vifaa vyake, ingawa limeshaanza lakini napata tabu hasa katika manunuzi ya bidhaa zenyewe, kwa yeyote anayeuza Simu au vifaa vyake kwa jumla naomba...
Niliweka fetha bank nilifungua fixed account hiyo bank walikua wanatoa riba ya 3% for three month na kianzio kilikua 500,000 je after hiyo miezi mi 3 ilitakiwa nipate shilingi ngapi? Naombeni...
Hbr wanaJF
Kwa yeyote mwenye kujua biashara ya kutengeneza na kuuza misumali ya ukubwa mbalimbali tafadhali naomba anifahamishe kuhusiana na
1) soko
2) gharama za udhalishaji
3) changamoto...
Habari zenu wanajukwaa!
nahitaji mbolea aina ya NPK mifuko 50. natanguliza shukurani kwa yeyote anayefahamu ninapoweza ipata kwa bei nzuri hapa DSM ani pm au tuwasiliane kwa 0758127558
Hivi karibuni kampuni ya tigo ilitangaza kuwa itatoa gawio la faida kwa wateja wake waliotumia huduma ya tigopesa kwa kipindi fulan. naomba anayeelewa hii ishu atujuze manake mm nasubiri mshiko tu.
Sasa unaweza Kuagiza bidhaa katika mtandao wa bicmark trading kwa usalama na uhakika,
Katika mtandao huu unaweza Tazama bidhaa mbalimbali kama Memory Card,Flash Disk,Solor Charger, Housing za...
Habari wanandugu.
Naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya faida, hasara, jinsi, umuhimu na mengineyo kuhusu uwekezaji kwenye mfuko tajwa wa Umoja Trust Fund anisaidie kuelewa kabla sijafanya maamuzi...
Habari za jioni! husika na kichwa cha somo!!
Wenye uzoefu tafadhali naomba kujua ni ipi nzuri,
Nikimaanisha network pamoja na comission zikoje!
nakaribisha maoni na ushauri pia!
W/end njema...
Ndugu zangu wana Jf Poleni na majukumu.
Naomba kujuzwa, jinsi au taratibu za kupata wawekezaji, hususani kwa watu wenye, mashamba makubwa, vitaru vilivyopimwa kwaajili ya madini, na miradi...
Wakuu naomba kujua gharama za kuanzisha kampuni ya 1. SIMU 2. SOLAR 3. ELECTRONICS (RADIOS/TVS)-(Initial capital investment). Pia location ipi itakuwa ni nzuri kwa office. Na ni kipi kati ya hizo...
Zinapatikana aina tofautitofauti.
Pia, tunasaidia kukupatia mteja kama unayo mali.
Mwenye nia thabiti ya kuhitaji kufanya nasi kazi tutafutane.
Strictly business, Hatuhitaji longolongo na Pumba...
UAMUZI tata wa Serikali ya Awamu ya Tatu kubinafsisha Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuuza sehemu kubwa ya hisa zake kwa wawekezaji binafsi, umeendelea kuligharimu Taifa, safari hii...
Habari wanajamvi, Kwa anaejua mkopo CRDB ni vitu gani huhitajika? kwa mfanyakazi wa serikalini, maana nnapewa maelezo tofauti kila siku- niko kinondoni so ni kijitonyama branch, mwenye kusaidia...
Salamu Wakuu:
Nahitaji kujielimisha kuhusu gharama za kupiga plasta ile wanasema ni ya kisasa ikiwa ni mchanganyiko wa Cement + Sand + Gypsum. Hii wanasema ndio bora na inakusugua kwingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.