kwa wale wenye expirience na pesa pesa za kgen naombeni mnisaidie kufahamu kama hii pesa bado inaendelea kutumika na kama inatumika inathamani ya shiling ngapi za kitanzania?
?
hahahahhahahaa du... am still aliv jaman cwez nkaulusu uhai wangu upolonyoke kwa tupesa uto ....ila naitaj info tu kuhusu iyo money coz natka nkachang alafu celew nmeenda kweny baadh ya buold exchange wakaniambia hawachange na hawajanpa info yoyote na hata nkiwauliza hawajui ..mmmnh end lik that
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.