Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hi jfs.. Mi nina ushauri kidogo kwa wajasiriamali madaktari. Hapa tz mikoa mingi haina mashine za vipimo tofauti tofauti. So jiungeni mchange au mchukue mkopo mnunue mashine then muwe mnatoa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wakuu. chonde naomben msaada wa mawazo yenu(tafadhali) nina Tsh 50000 nashindwa niwekeze vipi niko mazingira ya town ila sina muda wa kufanya kiinshu kingine kwa mm mwenyewe kulingna na kazi...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Nataka kujua bei za ushuru wa gari aina ya verossa...ya mwaka 2001..2000cc.. naombeni mnitajie gharama yake ya kuitoa bandarini...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya st Augustine Ukubwa ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia kufunguliwa Vikindu, na bei za...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Shamba linauzwa kibaha madafu lina heka mbili kila heka ni milioni saba........lipo karibu na kiwanda cha gypsum.......call 0768647751
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni kwa kazi wanajamvi, Nataka kuingia katika ufugaji wa samaki, nipo katika hatua ya kutengeneza business plan. Moja kati ya vitu ninavyohitaji kuvifahamu ni gharama ya vitu vifuatavyo; 1...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
The commissioning comes after RVR announced that it had secured a Sh1.8 billion asset financing deal with Standard Bank of South Africa and CfC Stanbic Bank towards the acquisition of 20...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KUULIZA SI UJINGA WASWAHILI TUNASEMA natamani kufanya biashara , na fedha nilizonazo jumla kwa ajili ya kufanyia biashara hiyo ni tshs 2,000,000/= tu. katika biashara hii, natamani kupata faida ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nataka kufuga ngomba wa maziwa wa kisasa katika mkoa wa Tanga . nisaidieni ngombe aina hii nitawapata wapi katika mkoa wa Tanga. Nahisi kuna vituo vyauzalishaji. Natanguliza shukrani
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimelima kitunguu sasa ni mwezi wa tatu lakn hakina matunda licha ya kuweka urea mara ya pili CAN na mbegu ni bombey red
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Jpili wadau.Naomba mwenye ujuzi/ufahamu wa namna ya kukausha zabibu.Nahitaji kukausha zabibu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau kuna hili wazo la biashara ya kununua nguruwe huko Morogoro kuchinja na kuleta hapa Dar, ofcourse itahitaji uwe na order kwenye vituo vya kuuzia nyama ya nguruwe, kwenye mabaa na watu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF kwa muda mrefu sasa, wafanyabiashara wengi wadogo wamekuwa wakilalamika kwamba kanuni lukuki na kodi kubwa zimekuwa zikichangia kudumaa kwa biashara na kuwavunja moyo wajasirimali...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Wakuu, mimi nimesajili jina la biashara yangu, nikapata lesen ya kupeleka bidhaa nje. sasa bidhaa hizo nazichukua kiwandani, wananiuzia na VAT, nikiwaambia mimi na export sitakiwi kulipa VAT...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa kuhusu uwezekano wa kusafirisha matofali ya kuchoma kutoka Morogoro had Dar na yakafika salama .Natamani kujenga nyumba ya matofali hayo ,Je inalipa?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mimi ni mfanya biashara mdogo nina miliki duka dogo naitaji kupata uzoefu wa kibiashara kutokana na kwamba sio mzoefu sana katka biashara embu wataalamu hapa mnipe mbinu za kukua kibiashara but...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Shamba lina ekali 10,000 na linamilikiwa kisheria(LINA HATI), MWEKEZAJI anahitajika linafaa kwa kilimo: Miundo mbinu 1. Barabala 2. Bwawa la maji. Cont: 0755 074 880 0754 062 750
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wiki uliyipita kulikua na purukushani Tandika kuhusu leseni nilishangaa sana kuna maduka zaidi ya 200.Kifupi inatia aibu sana kuona uzembe kama huu huku wafanyakazi ndo wakikamuliwa kodi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi kama Mteja wa NBC wa siku nyingi nashangazwa na changes zinazotokea NBC sasa hivi hasa tawi la apa Arusha Bondeni. kuna teller 1 tu na mara nyingine wanakua wawili na kuna jamaa ya hatari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nishaurini juu ya water pump nzuri, kubwa, yakisasa, imara, fuel economical etc kwa ajiri ya kilimo cha umwagiliaji wa shamba lenye ekari 8.
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Back
Top Bottom