Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

1. Kutojifunza Kila Siku Kila siku tunapaswa kujifunza angalau kwa dakika kumi na tano kwa sababu mafanikio yanatokana na kuongeza maarifa kila siku na si kila mwaka. Kama hujifunzi, unazeeka...
3 Reactions
4 Replies
530 Views
We are dedicated to delivering top-tier mobile app and website design services that set you apart in the digital landscape. Our approach blends creativity with technology, ensuring that each...
3 Reactions
4 Replies
875 Views
Katika ulimwengu wa sasa wa biashara za kidigitali, ni muhimu kutambua tofauti kati ya kuweka post ya kawaida kwenye mitandao ya kijamii na kutangaza kwa malipo (paid ads). Wajasiriamali wengi...
5 Reactions
14 Replies
768 Views
Moja kwa Moja kwenye mada, Leo nawajuza List ya Majiji,Miji,Manispaa na Wilaya 50 Zenye Mzunguko Mkubwa wa Hela hapa Tanzania ambazo zinafaa kwa biashara na uwekezaji.. Kigezo kinachotumika ni...
7 Reactions
411 Replies
62K Views
Kama wewe hua una file taxes zako mwanzo wa mwezi, nipo hapa kukukumbusha kua mwisho wa ku file taxes ni tarehe 5 July. Ukichelewa, utapigwa penalty ya Tsh. 100,000 kwa business na Tsh. 300,000...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
wakuu habari za muda huu...niende moja kwa moja mimi ni mjasiriamali nipo arusha.Naomba mwenye connection ya chef wa hoteli au officers wanaohusika na ununuzi wa chakula na mbogamboga mahotelini...
1 Reactions
0 Replies
208 Views
Wadau Kila mtu ashawai kusimuliwa biashara fulan na faida inayopatikana ila alipojaribu alikutana na moto wa hatari , Ugumu , kukata ela , kupoteza ramani kabisa. Naomba tuelezee hapa chini...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Juzi wakati nafuatilia uzinduzi wa daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki La Magufuri lililokuwa linazinduliwa na Mh. Samia Hassan, Nilishangaa kuona pesa yote imetoka ndani na hakuna deni...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, mitandao ya kijamii imekuwa jukwaa muhimu la kukuza biashara yoyote. Instagram, Facebook, na Twitter ni miongoni mwa majukwaa maarufu yanayoweza kukusaidia...
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Habari wanajamvi. Nina uhitaji wa vifaa vya watoto wa nursery school vya kuchezea hasa bembea
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni...
14 Reactions
37 Replies
1K Views
Helloowww mabibi na mabwana,wakaka kwa wadada...hope mko pooa kabisaa kuelekea mapumziko ya mwisho wa wiki.. Kama ilivyo ada watu hatuachi kuhangaika na kujifunza mambo mbalimbali katika maisha...
26 Reactions
56 Replies
21K Views
Kipi umsaidie mtu kati ya pesa ya chukula au Kumlipia Kodi kwa miezi 6. Na Hili swala ndo Tunaliongea hapa kijiwe kahawa.
2 Reactions
11 Replies
396 Views
Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya...
15 Reactions
102 Replies
4K Views
Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Kampuni ni model ya biashara inayopendwa sana na ambayo infant ni rahisi sana ku scale. Lakini Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla hujafanya maamuzi ya kufungua Kampuni; 1. Capital Mtaji una...
1 Reactions
0 Replies
500 Views
Rhond's company limited 🚗 Unahitaji gari la kukodisha? Kwa kazi, safari au matembezi — tuko tayari kukuhudumia! ✅ Magari safi na yaliyohudumiwa vizuri ✅ Madereva waaminifu na wenye taaluma...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
1 Reactions
4 Replies
368 Views
Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya. Kuna namna nyingi za...
1 Reactions
25 Replies
12K Views
Back
Top Bottom