Naongelea uzoefu wangu usiotia shaka kuhusu hizi biashara mbili. Kituo cha redio na shule ya sekondari. Kabla hujaamua kufanya hizo biashara hakikisha una mtaji mrefu. Radio stations hupata mapato...
Ukiitoa Congo, nchi zinazo bakia ni masikini dana kiuchumi, Burundi na Malawi ziko kwemye top 5 ya nchi masikini kabisa Duniani hapa.
Zambia nao kiuchumi hawako vizuri kabisa, Hao Rwanda sawa ila...
Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine
Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k
Sasa...
McDonald's ilianzishwa mwaka 1940 na ndugu wawili, Richard na Maurice McDonald, waliokuwa wakijulikana kama Dick na Mac. Walifungua mgahawa wao wa kwanza huko San Bernardino, California, Marekani...
Habari wakuu,
Huwa naisikia UTT Amis kupitia mifuko yake ambayo ipo takribani sita, wekeza maisha, watoto fund, umoja fund, bond fund etc.
Je, kuna mdau yoyote ambae ni member wa UTT anipe...
Nimejaribu kufuatilia nikaona private sectors nyingi zinalipa kodi na faini kubwa ambayo inakuwa kama lazima kwa kila taasisi, sio katika mataasisi tu ila piakatika biashara binafsi
Habari za wakti huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi...
Ukweli Mchungu ni Kwamba....
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA.
Na cha kushangaza zaidi?
Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi.
Kipato chako ni namba...
Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k.
Nunua chupi 200 uza...
Jinsi Nilivyomsaidia Mteja Wangu Kumsajilia Jina la Biashara
Nilipokutana na mteja wangu kwa mara ya kwanza, alikuwa amechoka na mawazo akijaribu kuanzisha biashara yake. Alikuwa na ndoto, wazo...
Kuna watu ni very smart asee, ama tuseme nibaraka, kuna sehemu nilipitia historia flani mzee akieleza biashara yake ya kwanza aliingiza faida ya dollar milion 1 kwa mwaka miaka hiyo ya 90s
Kwangu...
Katika kila mtaa, sokoni, au hata mtandaoni, kuna biashara ambazo kila mtu huzizungumzia. Kuna foleni milangoni mwao, simu hazipokeleki kwa wingi wa oda, na wateja wa zamani hurudi tena na tena...
Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja?
Biashara yenye wateja wengi ndiyo njia bora ya kuhakikisha una kipato cha uhakika na faida ya kudumu. Hii ni kwa sababu...
Ielewe Milioni Siyo Hela Kubwa Program,....
Na jinsi inavyookoa watu
Hii program ya Milioni Siyo Hela Kubwa inavyofanya kazi,
Mfano ukasema Sina uwezo wa kupata 800,000 Kwa pamoja yaani cash...
Wenye uzoefu wanisaidie kuchanganua : mahitaji, namna ya kutengeneza, masoko na changamoto zake , mfano wa vitafunwa hivyo ni karanga, ubuyu, bisi na crips za ndizi na viazi au mihogo.
SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale...
.
Kutokana na changamoto za ajira nashauri vijana wale ambao hamna kazi mtumie mitandao ya kijamii vizuri tafuta mfanyabiashara anayekuamini mwenye uwezo wa kukupa mzigo wa mali kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.