Habari za Muda huu Wakuu!
Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye...
Kampuni ya ITrust Finance imezindua rasmi Mfuko wa IDollar, mfuko wa pamoja wa soko la fedha unaotumia sarafu ya Dola ya Marekani (USD)
Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 10...
Kuna wakati nilipost humu kuhusu W1219 na W3002 – mtambo wa kudhibiti joto kwa incubator unayoweza kutengeneza mwenyewe nyumbani ukiwa na temperature controller, taa na feni ndogo. Ilikuwa tu post...
Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za...
Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza...
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania...
Utendaji wa shirika la reli nchini hususani treni za kutoka na kuelekea mikoa ya Dodoma, Tabora na Kigoma limekua linakatisha tamaa kutokana na huduma zake za kubabaisha treni halina muda maalumu...
Kuna Triend nyingi sana huwa zinaelezea ufugaji wa Kware ulivyo kuwa utapeli na jinsi watu walivyo tapeliwa na kadhalika.
Kwanza Ukweli ni kwamba Mayai yake ni lishe na tiba, shida ni tiba kwa...
Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila...
Wakuu habarini za wakati huu...
JF ni kisiwa cha maarifa. Naamini wamo wajuzi wa kuandaa 'maandiko ya biashara' au business proposal(s).
Naomba maelekezo. Au mwenye 'template' ya andiko lolote...
Kwema wadau,
Naomba mwenye kujua hii connection atupe huu uzoefu. Uhiaji wa maparachichi China ni mkubwa sana. Hata serikali yao qametoa KODI kwa uingizwaji wake.
Mwenyekujua atujuze tafadhali
Hongereni na mapambano GT's
Nahitaji Macadamia nuts kwa wingi sana
Nimeambiwa yanalimwa sana Tanga na mkuranga kidogo
Nahitaji mkulima sio dalali
Whatsapp 0688301635
Wateja wanaingia dukani kwako kila siku, wanakuja dm whatsapp, wanauliza bei, lakini mwisho wa siku, hakuna mauzo yanayofanyika!
Kama wewe ni mfanyabiashara wa duka la nguo na unakutana na hali...
Hello, niende moja kwa moja kwenye mada.
Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya...
Wachumi mnakaribishwa kwa michango.........
Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili
Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine...
Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi.
Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana...
Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au...
Niliwekeza kwenye Samia Insfrastructure Bond na maelekezo ya uwekezaji ni kuwa kila mwekezaji atawekewa gawio lake kila baada ya miezi mitatu. Miezi mitatu tayari imefika na hata kupita...
Nawasalimu wote,
Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu..
Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua..
Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao...
Mara nyingi wawekezaji huangalia bei ya hisa pekee — ndiyo maana bei inapopanda au kushuka hupata presha au wasiwasi. Lakini ukweli ni huu:
Unaponunua hisa, hununui tu karatasi au namba — unakuwa...