Naomba mnisaidie ndugu zangu. Nna hekari 4 za miti aina ya pines zenye umri wa miaka mitatu (3) nahitaji kwenda kukopa bank na hayo mashamba yawe ndio asset katika huo mkopo na nahitaji 20ml. Je naweza kupata? Na taratibu zake ziko vipi mpaka wakatoa huo mkopo? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.