Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana JF, Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele? Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu wana jf nimekuwa nikijaribu kufuatilia biashara ya vileo al maarufu pombe Kali naona katika industry ya biashara inawapatia sana watu faida. Mwenye ujuzi anisaidie maswali haya...
2 Reactions
10 Replies
962 Views
  • Poll Poll
Jana Waziri wa Viwanda na Biashara ametunga amri inayozuia wageni kutoka mataifa ya kigeni kufanya baadhi ya biashara kama zilivyoainishwa kwenye amri hiyo. Amri hiyo imetungwa kupitia kifungu Cha...
1 Reactions
6 Replies
879 Views
Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali...
3 Reactions
9 Replies
939 Views
Habari Wana JF naomba kuuliza nataka kufanya hio biashara ya faniture Arusha. Mimi ni fundi sofa, bed sofa na pia niuzie magodoro. Naomba ushauri Wana Arusha inalipa uko
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Habari Wana jf naomba kuuliza nataka kufanya io biashara ya kuuza ferniture Arusha Mimi ni fund sofa ,bed sofa na pia niuze magodoro.naomba ushauri Wana Arusha inalipa uko
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku! βœ…...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Habari za muda huu wana uchumi na wawekezaji. Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya: πŸ“Œ Uwekezaji kwenye soko la hisa πŸ“Œ...
2 Reactions
3 Replies
680 Views
Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili. Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube) Namna ya...
10 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu wa kaya NAOMBA USHAURI JUU YA UCHIMBAJI WA DHAHABU Kuna eneo nyeti Lina dhahabu nahitaji niwekeze Anae jua process za UCHIMBAJI anipe info mbili tatu
0 Reactions
6 Replies
461 Views
Duh dundu duh, ee bana ee....... Sasa wamekuja na Mama Yekuye anamtafuta mumewe kapotelea mjini masika tatu. Inavutia, inafurahisha na mwisho unajikuta unacheka peke yako! Hivi nani huwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepita madukani sasa hivi kununua sabuni ya unga ya kufulia. Baada ya soko huria viwanda vingi vya sabauni vilianzishwa baadhi ni Foma (Tanga), Tesa (IPP/Mengi), na Murzah. Hivi karibuni...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
kwa muda wa wiki wa wiki moja sasa, thamani ya shilingi ya tanzania imeshuka kwa kasi ya ajabu, mfano mwanzoni mwa mwezi huu ilikuwa exchange RATE KAMA HIVI $ TO SHILING 1138/=, LEO KWENYE BENKI...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Mwenye uzoefu na biashara ya kuuza majeneza , naomba experience especially kwa hapa dar. Mtaji Location demand Kila kitu
2 Reactions
6 Replies
434 Views
Wakuu ninamiliki kituo cha mafuta kutokana na changamota nilizopata kimaisha nimejikuta Sina pesa ya kununulia mafuta kwa ajili yakuendesha kituo, nifanyaje ili niweze kupata mtaji pesa...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Kusajili jina la biashara Kuna hitaji taarifa muhimu ikiwemo; 1. Jina la Biashara Hapa unatakiwa kuweka jina la biashara ambalo halifanani na jina lingine (Uzi wa siku ingine) 2. Anuani ya...
1 Reactions
0 Replies
350 Views
PEACHY VILLAGE COMPANY LTD "To the people of Tanzania, the Government, the Bank of Tanzania, international rights and financial institutions, and all defenders of justice and transparencyβ€” My name...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA! === Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni...
5 Reactions
77 Replies
3K Views
Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique...
1 Reactions
2 Replies
399 Views
--- 🌟 DUVETI KALI! 🌟 Pata kifurushi kizima kwa bei nafuu sana: πŸ›οΈ Duveti 1 πŸ›οΈ Shuka 1 πŸ›οΈ Foronya 2 πŸ“ Size: 6/7 πŸ’Έ Bei: 35,000 TSH tu! βœ”οΈ Ubora wa hali ya juu βœ”οΈ Laini na ya kisasa βœ”οΈ Inafaa...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…