Mahitaji msaada WA yeyote mwenye takwimu kwa haraka haraka ni maeneo gani Kwa Dar ni wauza chips kwa idadi kubwa, yani labda mtaa fulani kuna wauza chipa wengi na kwa umoja wao roughly wanaweza...
Kuna sehemu ya nchi jirani nimekutana na jamaa mmoja anauza madini kwa mzungu flani hivi baada ya kumdadisi kwa kina nikahisi ni Madini aina ya uranium sababu nilitaka anipe sample nione lakini...
Habari zenu wakuu!
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza chuo mwaka jana (2015) bachelor degree of science in food scicence and technology. nipo kwenye mchakato wa kutafuta kazi sehemu mbalimbali...
Salaam Wana Jamii forums,
Najua kuna baadhi ya wadau wanaweza kushtuka kuniona kwenye jukwaa hili nikiulizia jambo hili kwa sababu wengi wamezoea kuona post zangu kwenye jukwaa
la matangazo...
AUS200
Dominant bias: Bullish
AUS200 declined last month, reaching a high of 5393.0 and a low of 5040.0. That southwards movement threatened the bullish outlook on the market, but the recovery...
Uingereza kuvutia makampuni ya biashara
Waziri wa fedha wa Uingereza George Osborne ameeleza mipango ya wizara yake yenye lengo la kupunguza kodi muhimu ya faida katika biashara.
Hatua ya...
Hi guys,
First, i don't know why i can't contribute in others threads, can any mod explain to me like a 2 year old?
Back to thread, i have always wanted to invest in Tanzania. That is open few...
Wakuu heshima zenu,
Kuna jamaa yangu anataka kuhamisha huduma ya mpesa na tigo pesa kutoka dar kwenda mkoa mwingine.Sasa alikuwa anauliza kuwa inawezekana hizoline zikafanya kazi mkoa mwingine...
wakubwa shikamoo na wadogo zangu habarini!
Nina wazo la kibiashara na kwa hapa Dar es salaam sijaona kitu kama hicho.
Gharama ya kukamilisha hili wazo kuwa biashara halisi...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bullish
Gold moved upwards by over 12400 pips last month, and price reached a high of 1358.21 that month. There is a Bullish Confirmation Pattern in 4-hour, daily...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair moved upwards 150 pips last week, testing the resistance line at 1.1150, in the context of a downtrend. The...
1. Hawana mazungumzo marefu sana. Hii hutokana na kuwa watu hawa huamini kuwa wakisikiliza ndio watapata maarifa mapya na ujuzi zaidi kuliko kuongea, ni mara chache sana kuwakuta wakifanya...
Ujue baadhi ya matajiri waliofanikiwa kutoka kimaisha ni wajanja sana Wanaficha FORMULAR walizotumia ilikufanikiwa .
Kuna wengine ukiwauliza ulitokaje kimaisha wanasema FANYA KAZI KWA BIDII...
1. Aliko Dangote (USD 21.6 Bn). anatoka Nigeria. Ni Mwafrika pekee aliyeingia ktk top 50 ya dunia
2. Johann Rupert (7.3 Bn) anatoka Afrika Kusini
3. Nicky Oppenheimer (6.8 bn) anatoka Afrika...