How can I open a bussiness in Dar?

Sep 28, 2015
53
84
Hi guys,
First, i don't know why i can't contribute in others threads, can any mod explain to me like a 2 year old?

Back to thread, i have always wanted to invest in Tanzania. That is open few businesses there and considering what i read online about harassment of Kenyan businessmen by Tanzanian officials/police, i am hesitant to start.

Kindly advice me on whats needed (business permits)& challenges. Other things such as places i should avoid, your consumer capabilities etc will fall in place when i visit mid September.

My starting capital is $7,000 USD. THANKS

Translated
Hamjambo,
Kwanza, sijui ni kwanini siwezi kuchangia kwenye nyuzi za watu wengine, mod yoyote anaweza kunielezea kama mtoto wa umri wa miaka 2 ?

Turudi kwenye thread, Nimekuwa nikitaka kuwekeza ndani ya Tanzania. Nikimaanisha kufungua biashara chache huko. Kutokana na kusoma online kuhusu unyanyasaji kwa wafanyabiashara wa Kenya unaofanywa na maafisa wa Kitanzania/Polisi ninasita kuanza.

Naomba ushauri juu ya vitu gani vinahitajika kuanzisha biashara kama vibali, changamoto na mambo mengine kama vile maeneo ya kuyaepuka na uwezo wa wateja. Nategemea kutembelea katikati ya mwezi Septemba.
Mtaji wangu wa kuanzia ni $ 7,000 USD.

Asanteni.
 
Njoo inbox Mkuu... Umekuja muda mwafaka kabisa
 
nilikua nataka kwanza nipate different views from guys, then i will be able to choose who to involve.

Kwanza sio kweli kwamba polisi wanawanyanyasa wafanyabiashara kutoka Kenya. Kama ukiwa na vibali vyote na umefata taratibu zote utafanya biashara kwa uhuru sana. Kuna wakenye wengi sana nawafahamu wanafanya biashara vizuri tu bila bughdha..

Pili, ningependa kujua wewe uko interested na biashara ya namna gani?. Au kwa lugha nyingine uliwaza kufanyia nini hicho kiasi?... But generally kwa sasa anything bussiness inayohusiana na chakula, mazao, construction, vifaa vya ujenzi, kilimo/ufugaji (baadhi) cha kisasa, huduma za afya, biashara ya gass inalipa. Kama usimamizi utakuwa mzuri..

Kwetu hapa vibali utolewa na mamlaka mbalimbali kulingana na aina ya biashara unayotaka kuanzisha. Kuna Mamlaka kama Brela (kwa ajili ya usajili), kuna TRA, kuna Halmshauri husika, etc... Zingine utokana na biashara unayotaka kuanzisha kama TFDA, OSHA etc...

NB:. Huu utawala wa Magufuli ni vyema ujue kwamba hakuna dili unayoweza kupiga bila kuguswa na mkono wa dola. Awamu iliyopita Wakenya wengi walitajirika hapa kwetu kwa sababu ya dili za hapa na pale, ikiwemo kuja kwa mgongo wa kuowa mabinti zetu then wanakimbia baada ya kufanikiwa...

Kodi kwa sasa inalipwa kwa halali. Na vibali utolewa kwa halali...
 
Hukuwa na haja na ya kuandika kingereza na kukitafsir, ungeandika Kiswahili pekee ungeeleweka, sasa mbwembwe zote hizo hela yenyew ni dola 7000 tu
 
Back
Top Bottom