Biashara ya uchimbaji gesi asilia pamoja na mafuta

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
Salaam Wana Jamii forums,

Najua kuna baadhi ya wadau wanaweza kushtuka kuniona kwenye jukwaa hili nikiulizia jambo hili kwa sababu wengi wamezoea kuona post zangu kwenye jukwaa
la matangazo.

Natumai hapa nilipo post ni sehemu husika.

Naomba kujua/kufahamishwa kama bado serikali yetu ya jmt ijmtoingesi fursa za makampuni kuchimba mafuta na gesi asilia.

Na process zake zikoje.?!

I.e. muombaji anatakiwa na nini na nini
pia ni kiasi gani kama mtaji anahitajia kuwa nao.?!

Naombeni mnifahamishe.

Wasalaam

MAGARI7
 
Mzee hiyo biashara inahitaji mtaji mkubwa mno maana kudrill kisima cha offshore per day ni 1.3milion USD,na hapo unafanya exploration maana unaweza kosa pia pesa ikazama.ndo maana company za gesi na mafuta zipo chache duniani
 
Tenga kwanza zaidi ya bil 500 za madafu kwa ajili ya research then process nyingine zitaendelea Mkuu
 
Aisee, that's expensive then!
Na faida yake ikoje, assume nafanya na kupata.?!
 
Tenga kwanza zaidi ya bil 500 za madafu kwa ajili ya research then process nyingine zitaendelea Mkuu
Duuh, hio hela yote for research, okay so let's say niinvest that amount, je faida ikpje.?!
 
Kuna biashara nyingi zina deal na gesi
kuna kampuni na sub companies kibao huko
ushauri wangu tembelea maeneo husika uone kwa macho utajifunza kitu

kampuni inaweza kuwa na eneo
ikaajiri kampuni ingine kuja kuchimba
ingine kuja kulisha wafanyakazi
ingine kuja ku linda na kadhalika
 
Back
Top Bottom