Biashara ya Chips

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
114
42
Mahitaji msaada WA yeyote mwenye takwimu kwa haraka haraka ni maeneo gani Kwa Dar ni wauza chips kwa idadi kubwa, yani labda mtaa fulani kuna wauza chipa wengi na kwa umoja wao roughly wanaweza kuwa wakauza gunia ngapi kwa siku.

Na hata kama kuna mdau ana biashara hiyo basi itakuwa vema, akinipm.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom