Tigo pesa, M pesa line zinaweza kutumia kila mkoa

onyx

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
1,587
1,316
Wakuu heshima zenu,

Kuna jamaa yangu anataka kuhamisha huduma ya mpesa na tigo pesa kutoka dar kwenda mkoa mwingine.Sasa alikuwa anauliza kuwa inawezekana hizoline zikafanya kazi mkoa mwingine tofauti na dar ziliposajiliwa na hawezi kupata tatizo lolote la kibiashara

Naomba majibu yenu wana jukwaa
 
Kwa voda na airtel hakuna tatizo..tigo hatapata kamisheni yake ya mwezi kwa kuwa huthibitishwa na wakala wake mkuu wa eneo husika..
 
Kwa voda na airtel hakuna tatizo..tigo hatapata kamisheni yake ya mwezi kwa kuwa huthibitishwa na wakala wake mkuu wa eneo husika..
Kwani kwa voda na airtel huduma zao kamisheni inafanyikaje
 
Vipi kuhusu flot na kamisheni kwa line zote tigo na voda.Naomba ufafanuzi hapo mkuu.
Yaani hakuna tatizo lolote kuhusu kamisheni wala float.float unaweza kuomba kwa wakala yeyote au kuniingiza kupitia benk.
 
Yaani hakuna tatizo lolote kuhusu kamisheni wala float.float unaweza kuomba kwa wakala yeyote au kuniingiza kupitia benk.
Hiyo kamisheni anayekulipa ni wakali yupi au inatoka huko kwa wenye line kwa mitanso yote voda na tigo, Nashukuru sanaila naomba na jibu hapo
 
Hiyo kamisheni anayekulipa ni wakali yupi au inatoka huko kwa wenye line kwa mitanso yote voda na tigo, Nashukuru sanaila naomba na jibu hapo
Hao wenyewe watakutumia msg Mara kwa Mara kukufahamisha wakala mkuu wako wa mkoa uliamia.wewe usiwe na shaka.kila kitu ni rahisi tuuh mbona.
 
Back
Top Bottom