JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Niaje wadau, Naombeni Msaada gari yangu kila nikipita kwenye rough road inapiga sana kelele kwa ndani, lakin kwenye lami inatulia. Kupiga kelel kwake inakua kama inagonga.. Tatizo itakua ni nini.?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari JF Mimi ni dereva bajaji, sasa nimeona kutegemea chanzo kimoja cha bajaj ni changamoto Nimeamua kutafuta hili wazo la kuuza oli hasa M-GAS na TOTAL. Kwa bei ya jumla ili na mimi nipate...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Habari wataalamu kwa wiki kama mbili nimenotisi kitu kwenye gari yangu. Nikiwasha asubuhi. Inakuwa na kamlio fulani kwenye engine ambapo kanapotea baada ya dakika kama mbili au tatu gari ikipata...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti. Na kama vp...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu... Nimepata changamoto ya oil ya gearbox kuvuja kwenye Carina Si, nimepeleka gari garages tatu tofauti, wote wamebadilisha oil seals, tukafunga mpya, lakini bado tatizo lipo...
0 Reactions
5 Replies
476 Views
Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
2 Reactions
17 Replies
775 Views
Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
4 Reactions
9 Replies
773 Views
Umiliki wa magari kwa sasa ni hitaji Muhimu sana kwa maisha yetu. Na ni ndoto ya kila mtu kuwa na gari kwa sasa, kijana wa kiume na wa kike ukimuuliza katika "To do Goal" yake Kununua gari ni...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
habari wakuu gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke
2 Reactions
6 Replies
768 Views
Toyota Voltz Habarini wakubwa, Nisaidieni kujua kuhusu voltz. Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages Bei ya voltz 2008, 2006 na 2002. Karibuni wakubwa.
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Wakuu nataka kuvuta mkoko mitsubishi outlander wazoefu imekaaje ukilinganisha na mengine hapo juu mfano vangard
1 Reactions
2 Replies
952 Views
huko afghanstan wameishangaza Dunia baada ya kutengeneza Gari yenye Mundo wa Ferrari. Gari hii imepewa Jina MADA 9. Kaka masoud kipanya unakosea wapi?
1 Reactions
7 Replies
785 Views
Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda. Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Msaada jamani. Nina shida na hivyo vitu this morning.
2 Reactions
7 Replies
450 Views
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Extrovert na ndugu zote wa JF, nitashukuru kwa miongozo yenu. Am good at several things ila kiukweli katika magari sio mjanja kama nyie.
10 Reactions
123 Replies
8K Views
Nanga ni kifaa kilichotengenezwa Kwa ajili ya kuzuia Meli isipelekwe na upepo au mawimbi pale itapokuwa imesimama endapo imemaliza safari, marekebisho au maegesho kwenye maji. Nanga ilianza...
9 Reactions
22 Replies
4K Views
Hello, Mimi nataka kujifunza gari, anaejua bei ya kufundishwa na je ni sehemu gani mzuri ya kujifunza au kama kuna mtu anae weza kunifundisha aje pm tuyajenge nitampoza kidogo.
10 Reactions
52 Replies
5K Views
ELEWA AINA ZA MAFUTA YA BRAKE (BRAKE FLUIDS) NA MATUMIZI YAKE Dot ni kifupi cha US depertment of transportation, dot inaonesha grades za brake fluid ambazo hutolewa na Federal Motor Vehicle...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba tupeane changamoto na uzoefu tuliokutana nao tulipofanikiwa kumiliki gari la kwanza
2 Reactions
7 Replies
656 Views
Back
Top Bottom