Elewa aina za mafuta ya brake na matumizi yake

Kenny big

Member
Apr 18, 2021
21
114
ELEWA AINA ZA MAFUTA YA BRAKE (BRAKE FLUIDS) NA MATUMIZI YAKE

Dot ni kifupi cha US depertment of transportation, dot inaonesha grades za brake fluid ambazo hutolewa na Federal Motor Vehicle safety standard (FMVSS) au Dot 3, Dot 4,Dot 5.1

Mafuta ya brake or brake fluid huwa na solvent (60% to 90%), lubricating agents au vilainishi (5% to 30%) na addictives (2% to 5%), pia mafuta ya brake huwa na viongezeo vya kuzuia kutu katika system nzima ya brake

GLYCOL BASED
Brake fluid Dot 3 inatumia glycol kama solvent na kama brale fluid yenyewe kwa gari zilizotengenezwa mpka miaka ya 1990's

Brake fluid Dot 4 inatumia glycol ether na borate ester compounds ambazo zinaongeza perfomance kuliko Dot 3, Magari yaliyotengenezwa kuanzia 2006 yanatumia Dot 4 kama standard brake fluid

Brake fluid Dot 5.1 inatumia glycol ether na borate ester compounds ila ina ongezeko la peroformance kama iliyo silicone based Dot 5, kwa kifupi Dot 5.1 ni glycol based ambayo haina shida ukichanganya na grades nyingine kama Dot 4 na Dot 3 ila usijichanganye ukachanganya Dot 5(silicone based) na glycol based brake fluid ya grade yoyote

SILICONE BASED
Brake fluid Dot 5 ni silicone based na kuifanya isiweze kutumia kwenyw anti locking braking system, haiwezi kuchanganywa na brake fluid ya aina yoyote kama zilivyo grades nyingine, inatumika kwa magari ya kijeshi sanaa kwenye baridi kali sanaaaaa

JE UNAWEZA KUCHANGANYA BRAKE FLUIDS GRADES?

Yani ili uwe safe
Kama gari yako imekuja na dot 3 system u can use Dot 4 fluid or dot 5.1 fluid bila shia yoyote

Kama gari yako imekuja na dot 4 system unaweza ukaweka dot 5.1 fluid bila shida

Ila kama gari yako imekuja na Dot 4 system usije ukajaribu kuweka dot 3 fluid ni majanga, koz dot three haita meet temeperature requirement koz dot 3 fluid ina lower dry na wet boiling point

Kama gari yako imekuja na dot 5 (silicone) system usije ukachanganya na dot 3 au dot4 fluid, yaaani dot 5 system inajitegemea, koz ni silicone base

Dry boiling point ni kiasi cha joto ambacho brake fluid huchemka kabla ya brake fluid haijavuta unyevunyevu

Wet boiling point ni kiasi cha joto cha brake fluid baada ya kuvuta unyevunyevu na kukaa kwa muda fulani ndani ya system na kuwa exposed na hali ya hewa ya nje

Brake fluid Dot3,dot 4 na dot 5.1 ni hydroscopic yaani zina uwezo wa kufyonza maji na ndo mana zina bolingi point mbili, wet na dry

Ila Dot 5 ni hydrohobic silicone formulation, au hainyonyi maji ndo mana iko more stable hadi 260°C dry boiling point na 180°c wet boiling point

UBADILISHE BRAKE FLUID MARA NGAPI?
Watengenezaji wengi wa magari wanashauri ubadikishe mafuta ya brake kuanzia miaka 2 hadi 3 au 30,000km hadi 40,000km, zinatofautiana kutokana na mtengenezani amesema nini kwenye manual book yako kumekucha manual iko kijapan tuendeleee

Prepare by
DR MECHANICS
KENNY BRYSON GADAU
Follow me on
insta# drmechanics_tz
Tiktok# kennygadau2 tiktok.com/@kennygadau2
Facebook# drmechanics_tz
 
260°C dry boiling point na 180°c wet boiling point
sante sana kwa thread maridadi1

What is the difference between dry boiling point and wet boiling point?



Image result for 260°C dry boiling point na 180°c wet boiling point


The dry boiling point refers to the temperature at which the fluid boils before it absorbs moisture, while the wet boiling point refers to the temperature that the fluid starts to boil after it has absorbed said moisture.23 Feb 2015
 
... brake fluid inatengenezwa Japan, China, Dubai, Australia, Russia, etc. yet standard ni US's Department of Transport - DOT-1, DOT-2, DOT-3, etc.. Hawa jamaa wamei-hold dunia sio siri.
 
This is very serious thread but inaweza isipate wachangiaji wengi...kuna very serious chemistry behind brake fluid ambayo isipozingatiwa basi safety inakua compromised...unakuta mtu kaweka dot 3 kwenye system ya dot 5..sasa akifunga brake kama dude ni zito sana brake zinachemka mpaka zina boil brake fluid (because of low boiling point) then fluid ikisha boil brake hakuna.
 
This is very serious thread but inaweza isipate wachangiaji wengi...kuna very serious chemistry behind brake fluid ambayo isipozingatiwa basi safety inakua compromised...unakuta mtu kaweka dot 3 kwenye system ya dot 5..sasa akifunga brake kama dude ni zito sana brake zinachemka mpaka zina boil brake fluid (because of low boiling point) then fluid ikisha boil brake hakuna.
Kabisaaaa utasikia crown hazina brake kabisaaa, kumbe mtu kaweka dot 3 kwenye crown
 
Je ukichanganya kuweka mfano gari ya dot 3 ukaweka dot 4 kuna uwezekano taa ya abs kuwaka?
 
Back
Top Bottom